Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa ndugu wana ndoto mbaya sana ambazo ni za mdomoni tu!!Hawa jamaa huko nje wana maisha magumu lakini wanamdanganya mwenzao na kumfariji faraja za hovyo.Washindwe milioni 30 halafu waweze bilion!!Labda kwa miujiza
Fikra zako zinaanzia kwenye paji lako la uso na kuishia kisogoni pako...

Hata hujui kuwa, kilichokuwa kinasubiriwa ni milango iliyozuia baraka ya ukombozi kufunguka tu kwa TL kuwa mwenyekiti na tayari imefunguka...

Kama hujawahi kusikia na kuona kuwa mwamba (jiwe) linaweza kutiririsha maji safi ya kunywa na kumwagilia mashamba na kunywesha ardhi na mifugo, sasa UTAONA KWA MACHO YAKO...

Pesa zingine zitatoka huko huko kwa wana CCM na viongozi wa serikali yao...

Ndugu, Mwache Mungu aitwe Mungu maana njia zake, sio zako wewe mwanadamu na mawazo yake, kamwe sio kama yenu nyie wanadamu...!

Kama huamini kuwa hilo litakuwa, kaa hivyo hivyo hivyo na kutokuamini kwako lakini Mungu atabaki kuwa wa kuaminiwa daima na milele yote..!
 
Hekima ya mtu hupinwa kwa maneno na matendo!!.Sio kila viatu size yenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…