Fikra zako zinaanzia kwenye paji lako la uso na kuishia kisogoni pako...
Hata hujui kuwa, kilichokuwa kinasubiriwa ni milango iliyozuia baraka ya ukombozi kufunguka tu kwa TL kuwa mwenyekiti na tayari imefunguka...
Kama hujawahi kusikia na kuona kuwa mwamba (jiwe) linaweza kutiririsha maji safi ya kunywa na kumwagilia mashamba na kunywesha ardhi na mifugo, sasa UTAONA KWA MACHO YAKO...
Pesa zingine zitatoka huko huko kwa wana CCM na viongozi wa serikali yao...
Ndugu, Mwache Mungu aitwe Mungu maana njia zake, sio zako wewe mwanadamu na mawazo yake, kamwe sio kama yenu nyie wanadamu...!
Kama huamini kuwa hilo litakuwa, kaa hivyo hivyo hivyo na kutokuamini kwako lakini Mungu atabaki kuwa wa kuaminiwa daima na milele yote..!