Pre GE2025 Sauti ya Watanzania(ClubHouse): Tuna mkakati wa kuchanga Tsh 1B kumsaidia Lissu na CHADEMA kuupata ukombozi unaohitajika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ahahahahaha! Bilioni kumi muiondoe CCM madarakani au mnataka kumuondoa Mwenyekiti wa Mtaa? Ahahahahaha!!
Mpuuzi kama wewe tunakupuuza tu. Hivi unajua kuwa wewe ni mmojawapi wa watu ambao wanapuuzwa na kudharauliwa sana hapa jukwaani? Hiyo CCM unayojivunia sisi wengine tuna mizizi nayo kitambo tu lakini kwa maslahi mapana ya Nchi tumeamua kujitenga nayo hivyo unavyojifanya mfia chama tunakuchora tu
 
Japo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
Kuna mtu wangu wa karibu kanunua Yutong mbili kwa hela ambazo anatakiwa kuwalipa ninyi chawa kumpigia kampeni "mama yenu".
Badala ya kupewa 30000, yeye anawapa 10,000.
Pole sana kwa kuwa zwazwa.
 
Kuna mtu niliwahi mwambia kuwa mimi mzee wangu alishawahi kuwa mkuu wa taasisi mbili kubwa miaka ya themanini, lakini leo kwa elimu, akili, ufahamu na exposure niliyonayo, CCM kwangu ni shetani.
Mimi ni moja wa wanufaika wakubwa wa CCM, lakini siwezi kukishabikia hicho chama asilani.
Mpuuzi kama wewe tunakupuuza tu. Hivi unajua kuwa wewe ni mmojawapi wa watu ambao wanapuuzwa na kudharauliwa sana hapa jukwaani? Hiyo CCM unayojivunia sisi wengine tuna mizizi nayo kitambo tu lakini kwa maslahi mapana ya Nchi tumeamua kujitenga nayo hivyo unavyojifanya mfia chama tunakuchora tu
 
Kuna mtu wangu wa karibu kanunua Yutong mbili kwa hela ambazo anatakiwa kuwalipa ninyi chawa kumpigia kampeni "mama yenu".
Badala ya kupewa 30000, yeye anawapa 10,000.
Pole sana kwa kuwa zwazwa.
Si useme bwanako..mtu wangu mtu wangu
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kuna mtu wangu wa karibu kanunua Yutong mbili kwa hela ambazo anatakiwa kuwalipa ninyi chawa kumpigia kampeni "mama yenu".
Badala ya kupewa 30000, yeye anawapa 10,000.
Pole sana kwa kuwa zwazwa.
Huu ni ujinga wa kuamini ujinga.Hakuna pesa zozote za Chama zinatolewa bila auditing na kujua zinatumika vipi.Unajua bei ya Yutong mbili au ndio hadithi za kijiweni.
Hakuna pesa zozote za kampeni ni uzushi tu na kujipa umuhimu wa kijinga.
 
Ungekuwa na akili ungekuwa zwazwa wa kulamba makalio na hatimaye kujiita chawa!!?
Mwenye akili anakula kwa jasho, kwa kupambana na sio kwa hela za bure za kusifia sifia binadamu mwenzako.
Japo najua hiyo bil 1 haipo na hamuwezi kuchangia. Ila 1B tuleteeni watu wenye akili tuwafundishe namna inavyoweza kuwekezwa kwa vijana wakabidili maisha yao na ikawa organic campaign kwa vijana.
Lakini kwa kuwa mmekosa akili mnawaza kujaza mafuta ya bodaboda kwenye misafara na kununulia vijana sungura.
 
Mpuuzi kama wewe tunakupuuza tu. Hivi unajua kuwa wewe ni mmojawapi wa watu ambao wanapuuzwa na kudharauliwa sana hapa jukwaani? Hiyo CCM unayojivunia sisi wengine tuna mizizi nayo kitambo tu lakini kwa maslahi mapana ya Nchi tumeamua kujitenga nayo hivyo unavyojifanya mfia chama tunakuchora tu
Unanipuuza halafu unajibu hoja zangu? Ahahahahaha!

Nafikiri mimi ndio natakiwa kukupuuza wewe. Nikwambie kitu? Kuanzia leo, sitajibu chochote utakachoandika au utakachonijibu. Kama nilimblock Mshana Jr. zaidi ya mwaka wa tatu sasa, wewe you're just a bug!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tuseme tu ukweli, kuichangia chadema ni kama kuingia bar na kununulia walevi pombe... Hiki chama kinaishi kisanii sana, more than 20yrs chama hakina mradi hata wa kuuza bangi..? Useless kabisa 💩 ifike wakat tuambiane ukweli... Ndio maana waswahili wakasema "Masikini haaminiki hadhaminiki habebeki" yaani zaidi ya miaka 20 chama kazi yake ni kutembeza bakuli tu...
Haya endeleeni kutembeza bakuli, sasa hivi duniani msaada wa pesa za haraka zinazopatikana masharti ni lazima uwe upinde na utangaze upinde🏳️‍🌈
Huu sio wakati wa kufanya siasa za maji taka na harakati, hizo siasa zilikuwa acceptable miaka 10 iliyopita... Chadema anzeni kukijenga chama kwa kutumia akili na sio kukaza makalio na misuli ya shingo mkiamini kubwatuka na kupiga kelele ndio unaonekana mjanja...
Yaani Mzee Wasila ana miaka 80 anajenga hoja kisomi na kisasa kama kijana wa miaka 40 anawashinda wasomi na vijana wa kisasa kweli..? Tuongee ukweli tu pale chadema nani anaweza kukaa meza moja na Wasira akashindana naye kwa hoja..?

Anyways ukweli mnaujua WaTz wengi 80% hawaipendi ccm hata kidogo 🤣 ila sasa ndio watafanyaje hakuna chama mbadala kinacho jitambua na kuaminika...
 
Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.

View attachment 3237760
Hivi kwenye mchango wa gari zilipatikana ngapi?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Diaspora wote michango yao hawafikishi mil 100...

Hivi lile gari walifikia wap? zilipigwa kampeni mjomba hakufikisha mil 150.. leo wanatafuta B ya ndoto ...

BTW kwa remittance wanazotuma nyumbani wao ndio lowest East Africa.
Hivi huko mashuleni ulienda somea UJJNGA?!

Hapo mtoa mada kazungumzia SAUTI YA WATANZANIA..
hao diaspora ni category ndogo ktk kundi kubwa la SAUTI YA WATANZANIA.

Mfano mimi nipo kwenye sauti ya tz na sio diaspora.
 
Kwani zile milioni 300 za kumtoa Mwenyekiti Jela wali Hanga kwa muda gani?
 
Tuseme tu ukweli, kuichangia chadema ni kama kuingia bar na kununulia walevi pombe... Hiki chama kinaishi kisanii sana, more than 20yrs chama hakina mradi hata wa kuuza bangi..? Useless kabisa 💩 ifike wakat tuambiane ukweli... Ndio maana waswahili wakasema "Masikini haaminiki hadhaminiki habebeki" yaani zaidi ya miaka 20 chama kazi yake ni kutembeza bakuli tu...
Haya endeleeni kutembeza bakuli, sasa hivi duniani msaada wa pesa za haraka zinazopatikana masharti ni lazima uwe upinde na utangaze upinde🏳️‍🌈
Huu sio wakati wa kufanya siasa za maji taka na harakati, hizo siasa zilikuwa acceptable miaka 10 iliyopita... Chadema anzeni kukijenga chama kwa kutumia akili na sio kukaza makalio na misuli ya shingo mkiamini kubwatuka na kupiga kelele ndio unaonekana mjanja...
Yaani Mzee Wasila ana miaka 80 anajenga hoja kisomi na kisasa kama kijana wa miaka 40 anawashinda wasomi na vijana wa kisasa kweli..? Tuongee ukweli tu pale chadema nani anaweza kukaa meza moja na Wasira akashindana naye kwa hoja..?

Anyways ukweli mnaujua WaTz wengi 80% hawaipendi ccm hata kidogo 🤣 ila sasa ndio watafanyaje hakuna chama mbadala kinacho jitambua na kuaminika...
Kwanini mna hofu sana? Tutachanga hizo pesa.
 
Mwakilishi sauti ya watanzania (club house) - Kaswahili Juma Kaswahili, amesema kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu tokea siku ya kwanza alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, hivyo wanaangalia utaratibu jinsi wanavyoweza kuchanga Tsh Bilioni 1 ili zimsaidie Lissu katika kukijenga Chama nchini.

View attachment 3237760
changeni kwani mpaka mtangaze..... mtoeni Slaa kwanza bladifaken wahuni
 
Back
Top Bottom