Pre GE2025 Sauti ya Watanzania kusagia kunguni CHADEMA kila siku, wanatumiwa kudhoofisha chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.

Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike Je wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Kwani bado hakijasambaratika?🐒
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.

Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Anaesagiwa kunguni ni mbowe, lakin wale pia wengi ni diaspora ambao wanataka chadema wafanye yakwao katik mazingira haya yaliyopo which ni impossible
Hizo siasa wanazozitaka kwa tz , hazitowezekana
Hawamtaki mbowe sababu anaonekana yuko soft , wanamtaka hsrdliner lissu
 
Badilisha 'heading' isomeke, "Sauti ya wanaccm" sio watanzania wote.
 
Anaesagiwa kunguni ni mbowe, lakin wale pia wengi ni diaspora ambao wanataka chadema wafanye yakwao katik mazingira haya yaliyopo which ni impossible
Hizo siasa wanazozitaka kwa tz , hazitowezekana
Hawamtaki mbowe sababu anaonekana yuko soft , wanamtaka hsrdliner lissu
Mimi naona tabu watu hawa wengi hawana hata kadi ya uanachama, hawapigi hata kura, wako ughaibuni, wanalazimisha chama kiwe na mwenyekiti wanaomtaka wao.
 
Haichomoki. Mbowe must go.

Tsk Tsk Ati "Sauti ya Watanzania" inasaga kunguni?

I beg to differ.

Wanachama wa CHADEMA wenyewe ndio hawamtaki Mbowe. 🐼
 
Mimi ni mwana CHADEMA ila simtaki Mbowe. Alitupeleka kwenye maridhiano kwa nguvu Leo tunapigwa virungu. Very stupid.
 
Nitajie mwanachama wa Chadema aliyesema hamtaki Mbowe. Au Msigwa?
 
Mimi ni mwana CHADEMA ila simtaki Mbowe. Alitupeleka kwenye maridhiano kwa nguvu Leo tunapigwa virungu. Very stupid.
relax sasa,

siasa haitaki mihemko wala makasiriko ni kujipanga tu my friend,

na bila hivyo chairman atajipanga tena vizuri, na atawawin tena halafu mbaki mnang'aa macho tu na makasiriko yenu dhidi ya ake 🐒
 
Mimi ni mwana CHADEMA ila simtaki Mbowe. Alitupeleka kwenye maridhiano kwa nguvu Leo tunapigwa virungu. Very stupid.
Hivi maridhiano n nini? Hv maridhiano ni mabaya? Kwamba watu tuishi kwa kuheshimiana, siasa za kistaarabu. Tuishi kwa kutii Sheria ni vibaya? Mnataka nn na taifa hili
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.

Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Afu wanapenda sana kula michango ...... kila kitu wao kuchangia ni walaji wa michango balaaa
 
Back
Top Bottom