Kwani bado hakijasambaratika?๐Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike Je wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Bado kipo sana, labda msajili akifuteKwani bado hakijasambaratika?๐
Anaesagiwa kunguni ni mbowe, lakin wale pia wengi ni diaspora ambao wanataka chadema wafanye yakwao katik mazingira haya yaliyopo which ni impossibleNimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.
Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Badilisha 'heading' isomeke, "Sauti ya wanaccm" sio watanzania wote.Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.
Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Mimi naona tabu watu hawa wengi hawana hata kadi ya uanachama, hawapigi hata kura, wako ughaibuni, wanalazimisha chama kiwe na mwenyekiti wanaomtaka wao.Anaesagiwa kunguni ni mbowe, lakin wale pia wengi ni diaspora ambao wanataka chadema wafanye yakwao katik mazingira haya yaliyopo which ni impossible
Hizo siasa wanazozitaka kwa tz , hazitowezekana
Hawamtaki mbowe sababu anaonekana yuko soft , wanamtaka hsrdliner lissu
last moments right?๐Bado kipo sana, labda msajili akifute
Nitajie mwanachama wa Chadema aliyesema hamtaki Mbowe. Au Msigwa?Haichomoki. Mbowe must go.
Tsk Tsk Ati "Sauti ya Watanzania" inasaga kunguni?
I beg to differ.
Wanachama wa CHADEMA wenyewe ndio hawamtaki Mbowe. ๐ผ
relax sasa,Mimi ni mwana CHADEMA ila simtaki Mbowe. Alitupeleka kwenye maridhiano kwa nguvu Leo tunapigwa virungu. Very stupid.
Hivi maridhiano n nini? Hv maridhiano ni mabaya? Kwamba watu tuishi kwa kuheshimiana, siasa za kistaarabu. Tuishi kwa kutii Sheria ni vibaya? Mnataka nn na taifa hiliMimi ni mwana CHADEMA ila simtaki Mbowe. Alitupeleka kwenye maridhiano kwa nguvu Leo tunapigwa virungu. Very stupid.
Afu wanapenda sana kula michango ...... kila kitu wao kuchangia ni walaji wa michango balaaaNimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.
Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?