Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
- Thread starter
- #41
Kama hata mikutano yao inapigwa pini kwa technicalities (kumbuka hiki sio Chama cha Siasa) na wanaweza wakatumia loopholes kibao na technicalities kuwakataza..., hivyo basi badala ya kungaganiza kwenye ugumu na ambapo huenda ukafanyiwa faulo za kutosha kwanini usijaribu kujipenyeza pengine na ujumbe ukafika.....; Unaweza ukaandamana jamaa wakaleta mamluki au vijana wengine ili tu kuanzisha fujo na kinuke na wewe ndio ulaumiwe au polisi wapate cha kusema tuliwaambia inteligensia ilisema kuna fujo zitatokea....kwa hali tuliyofikia, kuandamana ni muhimu, maoni ya wananchi hayasikilizwi kabisa. Rejea katiba mpya ya wananchi inavyozungushwa, tume kadhaa zimechagiza mabadiliko ya sheria zetu, nani anafumba macho na kuziba masikio??
Kumbuka...; 'You can't stop the waves, but you can learn to surf.'