asante mkuu,hata hivyo exhaust enywe imesha choka choka so sio mbaya ni kibadilisha kabisaJifunze kwanza kuijua gari ndipo uanze kuichokonoa.Hakuna madhara kubadilisha exhaust ila wala hakuna faida yoyote zaidi ya gharama isiyo na ulazima
Ukitokea sayansi kama unaenda ali maua unaacha njia inayoenda missuma ukipanda mlima kuna kanisa lipo mkono wa kulia li aitwa cristco church kama sijakosea jina uliza madereva bajaji utakao wakuta hapo wakuelekeze kwa hao madogo wanaasili ya japani ni mafundi wazuri sana wa hiyo mambo wanafunga sana subarunisaidie location au namba zao
mkuuUkitokea sayansi kama unaenda ali maua unaacha njia inayoenda missuma ukipanda mlima kuna kanisa lipo mkono wa kulia li aitwa cristco church kama sijakosea jina uliza madereva bajaji utakao wakuta hapo wakuelekeze kwa hao madogo wanaasili ya japani ni mafundi wazuri sana wa hiyo mambo wanafunga sana subaru
hahaha kweli mkuu ila nakuja huko kwenye rim nataka hizo hizo old fashion kuna mtu nimeongea nae ni bingwa saana ana zi customize zinakua nzuri hatari kuliko za alloy wheel,nakuja kwenye exhaust maana lina cheza nje nje na lazamani saana so nataka kitu portable na laki sasa na lenye sound zile.ila mku kuna sauti zingine nzito ila standard yani ukienda kama ikulu inakua taratibu ila ukichimba wese ndo lina itikia so kuhusu hio usiogope.Mkuu si ungeanza kwanza kuweka rim gari ipendeze?hiyo misauti haina maana sana sana itakukata stimu siku unahitaji kwenda sehemu isiyohitaji makelele afu lenyewe linawika vibaya
Mkuu gari ni pesa yako tuu inakuwa vile utakavyoasante mkuu nitawa chek na nitatoa mrejesho hapa,ebwana kama nimekuona jina lako kwenye tgread kadha kuhusu magari ila ni za muda saana tokea 2017 hivi,huko vizuri nikashindwa kudakie thread maana naona kama wausika wameachana nayo,kwa utalam wako haitokua nashida gari.nataka iwe kwenye mtizamo kama hi nimeiokota google.
mkuu
hahaha kweli mkuu ila nakuja huko kwenye rim nataka hizo hizo old fashion kuna mtu nimeongea nae ni bingwa saana ana zi customize zinakua nzuri hatari kuliko za alloy wheel,nakuja kwenye exhaust maana lina cheza nje nje na lazamani saana so nataka kitu portable na laki sasa na lenye sound zile.ila mku kuna sauti zingine nzito ila standard yani ukienda kama ikulu inakua taratibu ila ukichimba wese ndo lina itikia so kuhusu hio usiogope.