AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe