King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Muffler ni kwa vijana wa 18-30,umri huo ni wa kuendesha VX,V8,Range etc.42 mkuu,napenda steel wheel rims
Sipati picha akimpakia mkwe wake humo ndani na hayo makeleleMkuu si ungeanza kwanza kuweka rim gari ipendeze?hiyo misauti haina maana sana sana itakukata stimu siku unahitaji kwenda sehemu isiyohitaji makelele afu lenyewe linawika vibaya
Wanacustomize wapiKaka hizi za jiko deal saana huki zi customize zina kua na muonekano mzuri kuliko hizo sports mayai za sikuizi ila nimekuelewa aina tabu kama hizo za chini hapo
Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe
View attachment 827348
Hakuna jina kama hlo instaingia instagram kuna jamaa mmoja aina jiita omay painters yuko vizuri ana piga rangi gari utasema mchina kumbe mbongo ni ana kipaji balaa asa nime google rim nime muonesha na hio kazi anaiweza na tumeshapatana.
U aongelea rims au bodyingia instagram kuna jamaa mmoja aina jiita omay painters yuko vizuri ana piga rangi gari utasema mchina kumbe mbongo ni ana kipaji balaa asa nime google rim nime muonesha na hio kazi anaiweza na tumeshapatana.
Hiyo gari ni manyu au auto..Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe
View attachment 827348
Huyu anataka akipita asikie zile keleke kama subaru fulaniJifunze kwanza kuijua gari ndipo uanze kuichokonoa.Hakuna madhara kubadilisha exhaust ila wala hakuna faida yoyote zaidi ya gharama isiyo na ulazima
Nyie ndo huwa mnaingiaga chini ya lori mzima mzima kwa kupotoshwa na mlio ili lisikikesina uwezo mkuu gari yangu naona inatosha kwa speed nataka zile sauti maana inatia mzuka
[emoji115] [emoji115]Ungetoa hizo rim za jiko ingependeza sana
yes mkuu ila sio saana kiasi chake subaru limezidi, yani kumbe ile milio ina type zake ukingia youtube hiko milio kama mitano hivi yani kuna ule standard hata ikulu naenda haina fujo ila nikisema nichimbe ndo mlio huo yani base wastani na kwenye mbio ndo sound lila tokezaHuyu anataka akipita asikie zile keleke kama subaru fulani