Sauti za Gari(Muffler)

Sauti za Gari(Muffler)

Kaka hizi za jiko deal saana huki zi customize zina kua na muonekano mzuri kuliko hizo sports mayai za sikuizi ila nimekuelewa aina tabu kama hizo za chini hapo
Wanacustomize wapi
 
Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe
View attachment 827348

Mkuu uko wapi wew? Mana nimeona picha ya gari tu
 
Sipati picha akimpakia mkwe wake humo ndani na hayo makelele
hapana kele ina kua standard ukiminya wese ndo lina itikia mkuu kelele sio ya kumtia wasi wasi mkwe yani lina kua la wastani kama gari za mashindano.
 
Mkuu uko wapi wew? Mana nimeona picha ya gari tu
mkuu mimi niko tegeta kibaoni picha ya gari nimeiweka ili mpate picha halisi kama ina faaa mseme au lah. ila nashukuru kuna mdau kanipa njia hapo pakuanzia.
 
ingia instagram kuna jamaa mmoja aina jiita omay painters yuko vizuri ana piga rangi gari utasema mchina kumbe mbongo ni ana kipaji balaa asa nime google rim nime muonesha na hio kazi anaiweza na tumeshapatana.
Hakuna jina kama hlo insta
 
ingia instagram kuna jamaa mmoja aina jiita omay painters yuko vizuri ana piga rangi gari utasema mchina kumbe mbongo ni ana kipaji balaa asa nime google rim nime muonesha na hio kazi anaiweza na tumeshapatana.
U aongelea rims au body
 
Habari wadau, samahani naomba ka ushauri kwa wale watalaam wa magari, mimi na corolla E110 speed 220km/h ni muingereza version ya corolla. Nataka maujanja ya kuifanya inatoa sauti kama subaru,alteza je kuna watalaam wana fanya hivyo?,na wako wapi? kwa hapa dar es salaam.au na badilisha tuh muffler na je kuna madhara yoyote yale kwenye gari kama ukifanya localy tuh bila utalamu,yani ikiwezekana niongeze perfomance ya gari.engine ni 4a-fe
View attachment 827348
Hiyo gari ni manyu au auto..
 
Jifunze kwanza kuijua gari ndipo uanze kuichokonoa.Hakuna madhara kubadilisha exhaust ila wala hakuna faida yoyote zaidi ya gharama isiyo na ulazima
Huyu anataka akipita asikie zile keleke kama subaru fulani
 
Nyie ndo huwa mnaingiaga chini ya lori mzima mzima kwa kupotoshwa na mlio ili lisikike
mlio na mbio na uendeshaji ni vitu tofauti mbona wako wa mama wa makamo wanaendesha subaru na wametulia hawana mbio walakuingia chini ya lorry.
 
Huyu anataka akipita asikie zile keleke kama subaru fulani
yes mkuu ila sio saana kiasi chake subaru limezidi, yani kumbe ile milio ina type zake ukingia youtube hiko milio kama mitano hivi yani kuna ule standard hata ikulu naenda haina fujo ila nikisema nichimbe ndo mlio huo yani base wastani na kwenye mbio ndo sound lila tokeza
 
Back
Top Bottom