Sauti za Gari(Muffler)

Page ya Old School Rides Rides Tz mcheki huyo jamaa namba mwanzo ya tigo.

Kama unaitaji muffler sound standard bila kuongeza ukubwa muffler na kuongeza power ya engine.
 
Halafu mkuu badilisha hzo rim za gari ya mizigo,weka sports rim uongeze mvuto kwa hyo ndinga!
 
Mzee baba we mzenji?
 
kumradhi mkuu nilikosea jaribu jina hili hapa ommypainter yupo magomeni angalia kazi zake za rangi mwenywe utachoka
Nambie na wachina, wajapan and likes wakali wa body nawapata wapi hapa dar (bei iwe chini kidogo, usinambie spring center kijitonyama
 
Kwa umri huo kama ndio unaanza kutaka kelele za gari basi siku si nyingi utamwambia mkeo akuwekee POTI chumbani maani ni stage ambayo hukupitia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu zama insta search ommypainters yuko vizuri ana rudisha gari kama kiwandani vile kwa body na rangi nampa mia
 
Unataka ushauri wa namna ya kuifanya gari yako ipigie watu makelele yasiyo na msingi!jinga kabisa wewe na wenzio wote wenye hizo tabia,nitakuja zibua mtu vibao barabarani..
 
Unataka ushauri wa namna ya kuifanya gari yako ipigie watu makelele yasiyo na msingi!jinga kabisa wewe na wenzio wote wenye hizo tabia,nitakuja zibua mtu vibao barabarani..
sawa afande
 
Gari za kisasa zipo computerized.. Everythng. Kumbuka ndan ya muffler kuna vitu vinawekwa kwa ajili ya kufanya hewa (air) isitoke kwa kirahisi ili kuongeza horse power ya gari, hvo ukiweua pipe kubwa ambayo si ya design ya gari yako unapunguza horse power ya gari na unafanya gari ipungue nguvu. Pia unavuruga usomaji taarifa wa kifaa kinaitwa oxygen sensor ambayo inapima uwing wa oxygen kwenye exiting air(exhaust) hvo controlbox inashindwa kupata reading sahihi ya air and fuel mixing ratio matokeo yake gari inaweza kuanza kunywa mafuta meng kuliko kawaida, wakati mwingne kuchange maffler huweza kufanya taa ya check engine kuwaka.. Hvo kwa ushauri, ukichange exhaust muffler nenda kwa fundi umeme afanye upa calibrations ya oxygen sensor ili muffler iendane na reading za oxygen sensor for better gas millage and horsepower.
 
asante saana mkuu naitaji watu kama nyinyi kwaushauri kama hivi nimekuelewa fresh,ila hili exhaust ambalo lipo naona kama sio lake vile hata hivyo nimekusoma nitazingatia hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…