Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Page ya Old School Rides Rides Tz mcheki huyo jamaa namba mwanzo ya tigo.Ndio na mimi nimejionea hizo hizo gari ndogo nyingi tuh ila kue na watalaam wazuri wanafanya bila kua na madhara, na wajua hawo jamaa ila siku wahi kuona namba zao pale insta ila nita cheki tena kuna hao wajapan kumbe wana page facebook wanafanya hizo mambo pia, thanks mkuu na follow up na wote hapa.
Kama unaitaji muffler sound standard bila kuongeza ukubwa muffler na kuongeza power ya engine.