Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani