Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweliKupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani
View attachment 3199655
Kwani umeelewa niniUlikuepo?
Mwamba hatoboi kakalia kuti kavu
..Hela inalipwa na kura ananyimwa vizuri tuHio ni kampeni Simu kwa Simu, simu za Wajumbe zinaita huku muamala unasoma 'umeingiziwa kiasi cha million 30 kwenye akaunti yako.....'
Kumamake yaani majimboni huko hadi karatasi za kuandikia muhtasari ya vikao wananunua kwa pesa zao viongozi wa chini?Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani
View attachment 3199655
NdioNi jambo tv