Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Huyo wa Victoria kanyoosha maneno.watu wa kanda ya ziwa wanamisimamo migumu mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makosa yalianzia kwenye script wakati wa rehearsal gentleman 🐒Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani
View attachment 3199655
Labda huko CCM.Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani
View attachment 3199655
Yani nimeshangaa kapiga simu kuomba kura anaishia kugombana na mpiga kura.Dada ajui kushawishi ,hana kabisa maneno ya kushawishi mtu huyo.
Duuh! kula kwa mbowe. Kura kwa Lissu."KWA SIKU YA LEO WEWE NI MTU WA 4 KUNIPIGIA SIMU KUMUOMBEA MBOWE KURA"
Tunakumbushana tu kwamba uchaguzi ni wiki ijayo. Hivi Lissu ashachangia ile hela?Kupitia ukurasa wa Youtube wa Jambo TV, kumevuja sauti ambazo zinaonesha baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa wanapigia simu wajumbe watakaoenda kupiga kwenye uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
=========================
My take:
Mimi kama mjomba ake nimehuzunika sana, nilitamani uncle aendelee, naomba chama cha mapinduzi kimsaidie mjomba kubaki madarakani
View attachment 3199655
Hasa hako ka Rachel kanaongea kijeuri kweli, yaani kanadiriki kumjibu Mjumbe Lissu ni chaguo lako wewe na Mkeo?Hawa kina dada wa Chadema si ndo ambao M/kiti huwa anawa.......?
anawa....Batazali.Hawa kina dada wa Chadema si ndo ambao M/kiti huwa anawa.......?
Ulikuepo?Hawa kina dada wa Chadema si ndo ambao M/kiti huwa anawa.......?
Mbatoanawanyaje mkuu malizia