Sauti za wapiga kura Uchaguzi wa CHADEMA zavuja. Wajumbe wamkataa Mbowe, wanamtaka Lissu

makosa yalianzia kwenye script wakati wa rehearsal gentleman 🐒
 
Labda huko CCM.
 
Kazi ipo, plan B nayo imegoma mwamba kakalia kuti kavu.
 
Huyu NKURUNZINZA WA MACHAME hawezi kuachia SACCOS yake.

Lissu atanyolewa bila ganzi.
 
Tunakumbushana tu kwamba uchaguzi ni wiki ijayo. Hivi Lissu ashachangia ile hela?
 
Hawa kina dada wa Chadema si ndo ambao M/kiti huwa anawa.......?
Hasa hako ka Rachel kanaongea kijeuri kweli, yaani kanadiriki kumjibu Mjumbe Lissu ni chaguo lako wewe na Mkeo?
 
Mbowe hata Kama akishinda lkn ajue huko kwenye wanachama wa kawaida hakubaliki hata kidogo. Asishangae mikutano yake huku mikoani ikiwa na watu 50.
 
Laiti Mbowe kama amebakiwa na hekima japo kidogo, ni afadhali awaambie hao wanaomwombea kura, watulie. Atazidi kujidhalilisha na kuwafanya wajumbe kuwa na hasira dhidi yake.

Hawa hawamwongezei kura bali wanazipunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…