Sauti za wapiga kura Uchaguzi wa CHADEMA zavuja. Wajumbe wamkataa Mbowe, wanamtaka Lissu

Kazi kweli kweli
 
Kati ya biashara ngumu sana kipindi hiki ni "kumuuza"...kumnadi mwamba!🀣🀣🀣
 
Mbowe atashinda tu na asiposhinda atashindishwa na magwiji wa hizo kazi za wizi wa kura
 
Duh Aisee Mbona Wajumbe wa Mbowe Wanashonwa Sana 🀣🀣🀣
 
Ayatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Huyo dada wa kwanza msenge kweli.

........Anapiga kuomba kura halafu anakuwa mkali.

Anatakiwa akaliwe kwanza.
 
Kumamake yaani majimboni huko hadi karatasi za kuandikia muhtasari ya vikao wananunua kwa pesa zao viongozi wa chini?

.............Aibu sana hii, Mwamba anazipiga sana hizo noti hapo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…