Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Yaani sisi huwa tunarudi palepale, tunamtetea sana Mungu kwa kuhisi Mungu hawezi kujitetea. Binadamu huwezi kusimama mbele na kumtetea Mungu, maybe kama Mungu huyo hana nguvu.
Kuna vitu ni vya kawaida tu, nachukuliaga poa sana, Mungu ninayemuabudu mimi, anayenibariki na kunipa afya njema huwa hataki nisimame mahali na kutetea kuhusu ukuu wake.
Ndugu zangu mnalalamika sana kuhusu posti ya Harmonize, kwangu mimi, kama amesema Mungu ni mwanamke, labda Mungu wake, sasa mtu amemzungunzia Mungu wake, wewe unaibuka na kunwambia afute.
Okay! Naye akikuuliza jinsia ya Mungu utamjibuje? Nani anajua jinsia ya Mungu asimame na aseme? Alituumba kwa mfano wake na hapohapo anasema hafanani na kitu chochote duniani.
Unajua tatizo letu ni moja, ukosema Mungu ni mwanamke, watu wanafikiri umemzungunlmzia Mungu watu wanayemjua, kila mtu ana Mungu wake.
Okay! Tuseme Muhindi kaibuka na kusema Mungu ni ng'ombe utamwambia afute? Unajua kamzungumzia Mungu gani?
Anasema Mungu aliyezungumziwa na vitabu vya dini, hata Wahindu buddha wao naye kazungumziwa na vitabu vyao vya dini, ukoenda kila dini, wana kitabu chao.
Kuna vitu tunavifanya tunaonekana kuzingua. Kama mtu amesema Mungu wake ni mwanamke, achana naye, labda wake, sasa mtu kamzungunzia Mungu wake, wewe unaibuka na kumtetea Mungu wako.
Guys! Mungu hawezi kutetewa na binadamu yeyote duniani. Yaani utetezi unafanywa kwa asiye na nguvu, je, unamtetea Mungu wako kwa kuwa hana nguvu?
Mimi hata usimame na kumtukana Mungu wangu, nanunua soda kwa Mangi, nakunywa huku nikitabasamu, tukana weeeeee, ila kuna siku isiyo na jina huyu Mungu wangu atakitetea kwako.
That's my Almighty GOD.