Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

Kuanzia leo naanza kutenganisha mbegu za mjani, kwa usalama wa akili yangu tuu.
Sijui itanibidi nipete pia
 
Hayo unaamini wewe kupitia vitabu vya dini ya Mungu unayemuabudu, sasa kuna wengine hizo Ten Commandments hawazijui na kwenye miungu yao hizo amri hazipo nao wako na zao.
Ndyo mana nimesema hao kina harmonize wana mungu wao na cyo huyu mwumbaji(creator) JEHOVA.
 
Kuna dini za kihindi kama hawa hindu au sisi tunawaita baniani, wana miungu mingi sana ya kike. So inategemea anaposema Mungu anamaanisha mungu wa dini gani. Maana kila dini ina mungu wake.
 
Nyie wote wapumbavu tu.
Mungu ni mnoja na sio mwanamke.
Jinga kabisa.
 
Back
Top Bottom