Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Ndyo mana nimesema hao kina harmonize wana mungu wao na cyo huyu mwumbaji(creator) JEHOVA.Hayo unaamini wewe kupitia vitabu vya dini ya Mungu unayemuabudu, sasa kuna wengine hizo Ten Commandments hawazijui na kwenye miungu yao hizo amri hazipo nao wako na zao.
Kama comment ya mistari miwili tu umechapia, vipi ukiandika uzi🤔Sijaona kama Harmonize amekosea. Nitakuja na uzi wa kuelezea hili swala. Harminize ameonyesha brain kubwa sana
Uzuri Mungu hatokei kijijini kwaooooo. Kila mmoja ashinde Mechi zake