ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Ben8 alisema PhD feki,yuko wapi??tundu lisu alihoji,alipigwa.angemuacha Asad??alikubali ili apone.AKILI HUNA mkuuWewe badala ya kulia lia hapa ,kwanini usiweke hapa vithibitisho vinavyoonyesha huo wizi wake?
Mbona huyo Assad alisimamishwa na Magu mbele ya camera akaambiwa aseme hizo 1.5 trillion zilizopotea ni zipi,akajibu Hakuna hela iliyopotea?
Sasa wewe unavyosema zile 1.5 trillion,nikikuuliza zilikuwa wapi utaweza kunijibu?
Ben8 alisema PhD feki,yuko wapi??tundu lisu alihoji,alipigwa.angemuacha Asad??alikubali ili apone.AKILI HUNA mkuu
Naongezea hapo, je alizipeleka wapi?Duuh!!...sasa jibu swali hili je pesa alizofisadi JPM zilitokea wapi?
Sema aliyefanya mambo ya Kingese kuliko yoyote.Naungana nawewe,huenda ndio sababu inayomfanya Magufuli awe raisi wa kwanza ambae kwa kipindi kifupi mnoo amefanya mambo makubwa ambayo yaliwashinda viongozi wa tatu waliotawala nchi kwa miaka 30 mfululizo.
Akazikwe pale kumbe kwake. Ni magufuli aliyepora korosho za wakulima huko kusini akitumia wajeda. Matokeo yake mbong'o alirudi na masandarusi ya NOTI Yakima ya kwakeMimba waliyodungwa na Magufuli inawatesa sana hao jamaa wa ufipa lakini ndimu na malimao zitawasaidia
Nadhani FDR WETU huyo!natamani kufanya Nate KAZI sijui NITAPENYEA wapi!!!?Ni maombi yangu NYOTA itaonekana tena TANZANIA. Anakuja tena KIONGOZI wa Nchi ASIYE MWANASIASA. Hawatatulia waliopo sababu KAZI alofanya Magu ni kubwa sana Kwa muda mfupi.