Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Mimba waliyodungwa na Magufuli inawatesa sana hao jamaa wa ufipa lakini ndimu na malimao zitawasaidia
Hapa kasingiziwa mtu tayari; hivi wanao mchukia Magufuli leo ni wa Ufipa kweli? Tuweni wakweli bhana, kusingizia mtu ni dhambi!
 
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania

Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai

Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao

Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta

Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya

Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban

Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu

Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa

Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini

Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali

Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)

Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili

Kununua ndege kwa cash

Kununua wapinzani

Kuhamishia serikali Dodoma

Kujenga bwawa la Nyerere

Kujenga SGR

Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)

Kujenga airport ya chato (international?)

Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)

Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)

Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Mashine ya Sukari iliyoagizwa na Tanroad umesahau kuiainisha
 
Duuh!!...sasa jibu swali hili je pesa alizofisadi JPM zilitokea wapi?
1.Alipiga panga kwa wafanyakazi hewa, Ambao wengi walionewa. .....

2.Alikaba kodi yeyote na popote kwa nguvu,na vitisho!

3.Aliwabana wafanya biashara wakubwa na wawekezaji ili kulipa ushuru mkubwa kupita kiasi!! wengi waka sepa zao!....

4.Hela za kununulia ndege!! tena basi cash! cash! wkt hayo makampuni wanatoa kwa mikopo Duniani kote!! hapo alipiga cha juu kikubwa mnooo! tena wazi wazi! wkt akijua kuwa hazita fanya safari za tija ktk ulimwengu wa ushindani wa safari za anga hapa EA.na Duniani kiujumla!

5.Kulazimisha kujenga uwanja wa ndege usio kuwa na tija kwao, kusababisha kanda ya ziwa iwena viwanja vitao vikubwa bila sababu ya msingi ya kufanya ivo, hapa ni wazi alipiga cha juu kikubwa sana.. kupitia kampuni ya mwizi mwenzie Mayanga Const.

6.Alibania fungu la pesa la Ofisi ya Rais la kusafiri nje ili apige cha juu! kwa ksingizio eti ni safari za hovyo! wkt nchi haina vyanzo vikubwa vyamapato!! aliona aibu kutembeza kopo!

7.Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu alipiga panga vibaya sana! wkt hizo hela zilikuwa za wafadhiri

8.Hela za kupandisha Madaraja watumishi wa Umma alipiga cha juu maksudi tu! kwa miaka yote!...je alizipeleka wapi??
Alifanya maksudi akijua hata shtakiwa lkn Mungu akamuwahi!! Puuuu!

9.Alitumia hela nyingi kwenye misafara yake Mikoani, kwa kutoa hongo kwa watu hovyo ili kuwarubuni wamchague!

10. Aliua hovyo Binadamu wenzake hasa wapinzani tena maksudi tu!! mbele ya Binadamu na Malaika kana kwamba wao si watu wenye uungu ndani yao !! na hiyo yoote ili aishi kwa amani yeye binafsi!! akasahau kuwa kuna Mungu. mfano Anzoli gwanda maskini wa Mungu yule jamaa kapotea mpaka wa leo hatujui nini kilimpata!

11.Alikuwa Muoga sana na hii style ya kukurupuka bila kufikiri ya baadaye! ilikuwa ni dalili kubwa ya uoga! Kifupi ni kwamba uoga wa kuuawa, kupinduliwa, changamoto, kumsema hovyo, kushindwa kuongoza ,uzoefu butu, kupenda sifa za kijingank

ulimfanya jiwe atumie nguvu kubwa sana kuongoza jahazi bila kufikiri kuwa hiyo itamuharibia mazimaaa!! na hata ile kufa yake ilikuwa ni hofu km matokeo ya matendo yake!!

tulimwambia akatambikie zile damu alizo mwaga lkn lile jamaa lilikuwa bishi sana! ndo maana hata Bashite!! alimpotezea yani hakumpeleka tena kiringeni!!...kwa kuachana nae vyema akajifanya kugombea kigamboni ili aaachane na jiwe!! Bashite alijua maksudi tu kuwa atashindwa!
 
Hapa unajibiwa kwa kadri ya majibu yako

1;alipiga panga kwa wafanyakazi hewa ambao wengi walionewa, yaani ni 'wafanyakazi hewa' alafu bado walionewa ?...inaposemwa WAFANYAKAZI HEWA wewe unaelewa nini?
Tuwekee hapa 'alipiga panga ' kiasi gani kwa hao wafanyakazi hewa walioonewa

2; alikaba kodi YEYOTE na popote kwa
nguvu na vitisho?kwa hiyo kwako wewe serikali kuhakikisha inakaba na kukusanya kodi kwa nguvu na vitisho ni UFISADI?

3; ikiwa hao wafanyabiashara walisepa baada ya kubanwa kwa kodi kubwa,je hizo trillions alizofisadi zilitokea wapi?

Pia naomba utuwekee majina ya hao wafanyabiashara wakubwa waliobanwa kwa kodi kubwa mpaka wakaamua kusepa

4;kwanza unafahamu tofauti iliyopo kwa mtu anayelipia bidhaa fulani kwa wakati mmoja na Yule anayelipia kidogo kidogo kwa muda mrefu?

Pia naomba utuambie hicho cha juu kikubwa alichopiga kwenye huu ununuzi wa ndege ni kiasi gani?

5;hapa inabidi nicheke kwanza,aiseeh!!
Kanda ya ziwa kuwa na viwanja vitano vikubwa vya ndege kwako wewe ni UHALIFU na UFISADI?

Je hivyo viwanja vinafanya kazi ya kuhudumia watu ama vimekufa?

Weka USHAHIDI wa kiasi kilichopigwa kwenye uwanja wa ndege chato

6;hapa ndio najikuta nacheka zaidi,duuuuuh hii hatari sasa!!.

Kwahiyo kwako wewe nchi kutembeza bakuli kila leo ni jambo la KUJIVUNIA?

Unaweza kutuambia ni kiasi gani kilitengwa kama bajeti ya JPM kwenda kuomba omba huko nje lakini kikaishia kwenye mifuko yake?

7;kichekesho kingine hiki,kwamba hela ya mikopo ya elimu ya juu ya nchi hii inatoka kwa wafadhiri?

na JPM alivyokuwa FISADI akakomba hela zote za mikopo na kwenda kuzificha chato

Kwahiyo hapa tunakubaliana kwamba katika kipindi chote cha uongozi wa JPM,wafunzi wa elimu ya juu hawakuweza kuendelea na masomo yao kutoka na kukosa mikopo ? Maana Hayati alipiga panga mikopo yote!!

Kuanzia namba 8,9,10 na 11 kote humo umeandika UPUUZI uliopita viwango,nimejibu tu baadhi ya sehemu kukuonyesha jinsi ulivyo KILAZA unayefuata tu mkumbo bila kujua chochote!!
 
alipiga panga kwa wafanyakazi hewa ambao wengi walionewa, yaani ni 'wafanyakazi hewa' alafu bado walionewa ?...inaposemwa WAFANYAKAZI HEWA wewe unaelewa nini?
Tuwekee hapa 'alipiga panga ' kiasi gani kwa hao wafanyakazi hewa walioonewa
Basi ujue ku-fail masomo huwa ni padogo watu wanakoseaga.... neno ''Wengi walionewa'' unalitambuaje?....Hao Wanafunzi waliokuwa vyuo vikuu mbalimbali nchini walikuwa wana subiri Barua za Rhuksa huko huko!! mashuleni! lkn waliwekwa kwenye List ya wafanya kazi hewa. wako humu JF watafute wewe!! jishughulishe kijana!

Wkt huyo baba yako mfu anatangaza hela alizo okoa!! kutokana na zoezo lake mfu hilo ! wewe ulikuwa wapi?? usinirudishe nyuma kukuelimisha bure weye mtoro! tv huna Radio ya simu pia hukuwa nayo?
kwa hiyo kwako wewe serikali kuhakikisha inakaba na kukusanya kodi kwa nguvu na vitisho ni UFISADI?
Acha ushamba wa kisukuma huo bana Mlipa kodi ni....mazingira ya kodi rafiki siyo adui!.. Rais unateka/kaba mlipa kodi mkubwa Duniani? una akili au matope!
Pia naomba utuambie hicho cha juu kikubwa alichopiga kwenye huu ununuzi wa ndege ni kiasi gani?
Usituchoshe bana bei ilitangazwa waaazi ya hizo ndege nimesema kwa nini alinunua cash wkt muuzaji alikuwa tayari kwa malipo ya intallment!..kiasi gani alipiga....nilipe nikwambie!
Je hivyo viwanja vinafanya kazi ya kuhudumia watu ama vimekufa?

Weka USHAHIDI wa kiasi kilichopigwa kwenye uwanja wa ndege chato
Tena vya kisasa vimepandishwa daraja viko sasa sita viko level ya juu acha ile ya zamani!
1.Bukoba, ....... Hamgembe/uzunguni!

2.Mwanza, ...... Nyakato! hapa midege mikubwa ya minofu ya samaki ilitua usiku na mchana!

3.Musoma, ..... Biafra/kwangwa baba wa taifa alitua na kupaa... tangu zama za mkoloni kilikuwepo wee hujazaliwa huko!

4.Tarime, ....... Rebu/store, kuelekea Kirigiri juu!...kinahujumiwa maksudi ajili ya Dhahabu ya nyamongo!

5.Mugumu vipo viwili (a) kimoja Burunga high way cha kisasa hiki,ajili ya utalii, sasa SERENGETI IA! ......na kingine B) ndani ya mbuga za kuhifadhi wanyama Cha zamani!..ni utalii tu kwa kwenda mbele!! alitaka kui-overtake hii!

6. Mwenda zake chato air stream!...(mfu kabisa hakina kazi)

7. Shinyanga
yaani ntalia buree!! hapo bado sijataja air streams za ndani ndani humo vya Dharula km vile vya migodini! na unajua kanda ya ziwa ina migodi mingi yenye thamani Kubwaaa km Mwadui Diamond mine! Nyamongo, ulyahnkuru! mayooo Kiribho! huko kote ni ndege zinashuka na kupaa na madini usiku na mchana mnishike jamani mnishike!!... google kila kimoja utakiona safiiii!! cha msingi wee prefect punguza unoko!
wahiyo kwako wewe nchi kutembeza bakuli kila leo ni jambo la KUJIVUNIA?

Unaweza kutuambia ni kiasi gani kilitengwa kama bajeti ya JPM kwenda kuomba omba huko nje lakini kikaishia kwen
Wana chato bana sasa Asitembeze Bakuri ana nini?? wafanya biashara aliwateka kawaua...asitembeze bakuli.mchezo! mtakula nini hapo chato na hakuna zao la biashara km Musoma?? si unaona mpaka kafa ajili ya mstuko walipo mkatalia!
sasa km haikuishia kwenye mifuko yake hayo ya kujenga chato IA alitoa fungu lipi na kwa bajeti ipi ya haraka haraka ivo??
kote humo umeandika UPUUZI uliopita viwango,nimejibu tu baadhi ya sehemu kukuonyesha jinsi ulivyo KILAZA unayefuata tu mkumbo bila kujua chochote!!
Ninge jidharau sana!! kueleweka kirahisi ivo kwa mwana kijiji typical ambae hajaenda shule ya maana zaidi ya Mwenda zake primary school!...ni ngumu sana mtu wa kawaida kuwaelewa wana mapinduzi nguli wa JUCHE!!
 
Basi ujue ku-fail masomo huwa ni padogo watu wanakoseaga.... neno ''Wengi walionewa'' unalitambuaje?....Hao Wanafunzi waliokuwa vyuo vikuu mbalimbali nchini walikuwa wana subiri Barua za Rhuksa huko huko!! mashuleni! lkn waliwekwa kwenye List ya wafanya kazi hewa. wako humu JF watafute wewe!! jishughulishe kijana!

Wkt huyo baba yako mfu anatangaza hela alizo okoa!! kutokana na zoezo lake mfu hilo ! wewe ulikuwa wapi?? usinirudishe nyuma kukuelimisha bure weye mtoro! tv huna Radio ya simu pia hukuwa nayo?

Acha ushamba wa kisukuma huo bana Mlipa kodi ni....mazingira ya kodi rafiki siyo adui!.. Rais unateka/kaba mlipa kodi mkubwa Duniani? una akili au matope!

Usituchoshe bana bei ilitangazwa waaazi ya hizo ndege nimesema kwa nini alinunua cash wkt muuzaji alikuwa tayari kwa malipo ya intallment!..kiasi gani alipiga....nilipe nikwambie!

Tena vya kisasa vimepandishwa daraja viko sasa sita viko level ya juu acha ile ya zamani!
1.Bukoba, ....... Hamgembe/uzunguni!

2.Mwanza, ...... Nyakato! hapa midege mikubwa ya minofu ya samaki ilitua usiku na mchana!

3.Musoma, ..... Biafra/kwangwa baba wa taifa alitua na kupaa... tangu zama za mkoloni kilikuwepo wee hujazaliwa huko!

4.Tarime, ....... Rebu/store, kuelekea Kirigiri juu!...kinahujumiwa maksudi ajili ya Dhahabu ya nyamongo!

5.Mugumu vipo viwili (a) kimoja Burunga high way cha kisasa hiki,ajili ya utalii, sasa SERENGETI IA! ......na kingine B) ndani ya mbuga za kuhifadhi wanyama Cha zamani!..ni utalii tu kwa kwenda mbele!! alitaka kui-overtake hii!

6. Mwenda zake chato air stream!...(mfu kabisa hakina kazi)

7. Shinyanga
yaani ntalia buree!! hapo bado sijataja air streams za ndani ndani humo vya Dharula km vile vya migodini! na unajua kanda ya ziwa ina migodi mingi yenye thamani Kubwaaa km Mwadui Diamond mine! Nyamongo, ulyahnkuru! mayooo Kiribho! huko kote ni ndege zinashuka na kupaa na madini usiku na mchana mnishike jamani mnishike!!... google kila kimoja utakiona safiiii!! cha msingi wee prefect punguza unoko!

Wana chato bana sasa Asitembeze Bakuri ana nini?? wafanya biashara aliwateka kawaua...asitembeze bakuli.mchezo! mtakula nini hapo chato na hakuna zao la biashara km Musoma?? si unaona mpaka kafa ajili ya mstuko walipo mkatalia!
sasa km haikuishia kwenye mifuko yake hayo ya kujenga chato IA alitoa fungu lipi na kwa bajeti ipi ya haraka haraka ivo??

Ninge jidharau sana!! kueleweka kirahisi ivo kwa mwana kijiji typical ambae hajaenda shule ya maana zaidi ya Mwenda zake primary school!...ni ngumu sana mtu wa kawaida kuwaelewa wana mapinduzi nguli wa JUCHE!!

Unamaanisha nini by air streams,,,? au ulitaka kusema Airstrip ?

Nb,yote uliyooandika hapa ni UPUUZI tu kama kawaida yako KILAZA wewe!!
 
Ndivo ivo Magufuli style sikulaumu .......''Kinywa cha mpumbavu hunena yaujazayo Moyo'' Methali!!!..... Allah! mwenyewe! siyo Maneno yangu
 
Unamaanisha nini by air streams,,,?
Tulia kwanza weye!! Kama umewahi kuiona ''Gulf air stream''! ikikata mawimbi basi chukulia mfano huo ''Jiwe air stream'' ...ila usinilishe maneno!! make kwa hasira hizi?
 
Swali gani la kijinga hivyo umeuliza? Hela zilikuwa zinatoka wapi?

Kwani wananchi tulisimama kulipa kodi kipindi cha JPM? Kodi zililipwa na hizo hizo fedha za wafanyabiashara walizokuwa wanaporwa kwa nguvu ndo zilitumika kiufisadi maana hazikuwa na maandishi.

Serikali ilikuwa inakopa mno kimya kimya kwa nchi zilizokataa kutoa misaada kwa Tanzania maana mkopo ni biashara hakuna nchi wala taasisi ya kimataifa itakataa kukupa mkopo wenye riba kubwa kisa tu wamesitisha misaada.
 
Kwahiyo Magu kukopa pesa nyingi ndani ya miaka 6 ya utawala wake ndio kunamfanya kuwa FISADI?
Kwani hoja yako si umeuliza alikuwa anatoa wapi fedha za kufisadi?

Umepewa jibu kwamba alikuwa anakopa sana bado tena unabadilisha wimbo.
 
Ukiwa na Akili Raha sana yaani Magufuli aliminya Demokradia halafu taasisi za kifedha za kimataifa zikamnyima Magufuli fedha,tena Magufuli alikuwa hasafiri kwenda huko kwa mabeberu kwa sababu aliwasema vibaya,Leo Samia anasafiri sana na amekopeshwa mikopo yenye riba nafuu kutoka mabenki ya kimataifa na sasa analipa madeni ambayo Magufuli alikopa wakati ule wazungu walipogoma kuipatia Tanzania mikopo.hii CCM na serikali yake inajitekenya na kucheka yenyewe,Raha sana mambo haya,na kumbe usahaulifu ni kitu kibaya sana.
Dah! We jamaa unazidi kuwaumbua aisee
 
Kwani hoja yako si umeuliza alikuwa anatoa wapi fedha za kufisadi?

Umepewa jibu kwamba alikuwa anakopa sana bado tena unabadilisha wimbo.

Umesoma mada ukaielewa?...

au umeshasahau kwamba alikuwa akitekeleza hiyo miradi yote kwa pesa za mkopo na si pesa za ndani?

Ikiwa miradi yote iliendeshwa kwa pesa za mkopo,Je hizo pesa za kufisadi zilitoka wapi?

Vile vile nikikwambia unipe takwimu za kiasi cha mikopo iliyokopwa na JPM, na kiasi cha pesa kilichotumika kwenye miradi yote ili tuweze kujua kiasi alichofisadi kwenye hiyo mikopo utaweza?
 
Back
Top Bottom