Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Wahuni ndio wamejitungia hadithi lkn waelevu tunajua kinachoendelea mwishowe wataangukia pua
 
Nape akiwa bungeni alitaka ifanyike audit maalum ya pesa zilizokopwa enzi za Magufuli lakini bunge liligoma. CAG professor Assad aliomba nyaraka za ujenzi wa SGR na SG na manunuzi ya ndege cash lakini aligomewa. Sasa kutoka hapo jiongoze.
 
Sasa ulichoandika hapa ndio kinaonyesha trillions alizofisadi JPM zilitoka wapi?

Vile vile sasa hivi wanaogopa nini kufanya hayo yote waliyotaka kufanya wakagomewa ikizingatiwa JPM hayupo?
 
Wewe JUHA hivi unajua kusoma vizuri?

Hivi unajua Magu ndani ya Miaka 6 tu ya utawala wake, LILIKOPA pesa nyingi kinoma kuliko pesa zote ambazo Kikwete alikopa miaka yote 10 ya UTAWALA Wake?
Hivi kwa ujinga wako kuna benki duniani utakwenda kukopa pasipo kuonyesha financial statement kuwa ela yao itarudi vipi,Samia mwaka mmoja anakaribia kugonga trillion 10 na bado hali ngumu,juzi WB wametoa tahadhari kuwa kama serikali ya Samia itaendelea kukopa hivi inakwenda kuangukia kwenye stress za madeni.
 
Vijana kama Hawa ndio wanategemewa Kulikomboa Taifa
Kazi ipo nchii ina watu Viazi Sijapata Kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…