Hawanauwezo wakijibu sawali kamahilo.
Haya majitu sijui akili yamezikalia""
Magu alifanya miradi yakutisha na mambomengi ya maendeleo wakayaona kwamacho wakakosa hoja wakaja na ujinga kwamba eti hawataki maendeleo ya vitu kama bwawa la nyerere, ubungo flyover, tazara barabara kama ya kimara mail moja.
Daraja la busisi,mastendi ya bus, ndege naviwanja vyake namengine mengi hayaelezeki wakasema hawataki hayoyote wanataka maendeleo ya watu sio vitu.
Vitu walivyo viona na wakasema hawavitaki hawasemi viligharimu sh, ngapi' saizi wanasema hakufanya chochote alikuwa muizitu, hawa watu ni matope kabisa.