MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Wewe msukuma mpumbavu, usichoshe watuMkuu acha blah blah,tuonyeshe ni jinsi ganI alipiga hizo trillions kutoka kwenye hiyo miradi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe msukuma mpumbavu, usichoshe watuMkuu acha blah blah,tuonyeshe ni jinsi ganI alipiga hizo trillions kutoka kwenye hiyo miradi
Swali la kitoto sana hili,
Hata mtoto wangu wa darasa la saba angeweza kujibu,
Mapato yapo sana tu nchi hii,tatizo yanaliwa,sasa fikiria kama pale hazina watu wakipiga milioni 500 kwa siku mbili kama posho,utashangaa vipi na kuuliza Eti pesa inatoka wapi!!nchi hii inapesa nyingi kutoka kwenye vyanzo vyake cilicyokuwepo miaka 10 iliyopita,tatizo pesa nyingi zinaliwa na majizi kama Mkapa,Kikwete,JPM,unapouliza pesa ilitoka wapi,ilitoka hazina,kwanini halificha manunuzi ya Ndege?bei ya Ndege iliwekwa Cha juu,tender za ujenzi wa airport ya chato aliipa kampuni ya shemeji yake,sasa utakuwa kichaa ukisema huu sio upigaji
Hujitambui,
.alizonyang'anya watu ktk account zao
,Alizopata kupitia sabaya na makonda.
,Maduka ya forex
Magufuli alishakufa na hakuwa msukuma.Wewe kutokuwa MPUMBAVU ndio kumekufanya ugundue kwamba mimi ni msukuma pasipo kunijua hata chembe?
Nani anaonyesha kuwa na UPUMBAVU Kati yangu mimi na wewe hapa kwa aina hii ya majibu unayotoa hapa?
Kiongozi Sasa usiniangushe. Mimi nakuona kama mtu mtulivu lakini nimegundua hauko makini. Hapa umefikia conclusion prematurely na kuyadhani ni majungu. Nilichokwambia ni kuwa VYOTE vitawekwa hadharani. Ingekuwa rahisi kwako kugundua kuwa hivi ulivyovisikia ni sehemu tu ya ufisadi husika labda uwe ujui maana ya vyote.
Mahaba yanakusumbua sana. Nikudokeze tu hatuteseki maana Sasa nchi iko huru tena na amani tele. Tunashughulika na wenye kuteseka na mahaba
Magufuli alishakufa na hakuwa msukuma.
Jifunze KUZOEA, mbwiga wewe.
Naungana nawewe,huenda ndio sababu inayomfanya Magufuli awe raisi wa kwanza ambae kwa kipindi kifupi mnoo amefanya mambo makubwa ambayo yaliwashinda viongozi wa tatu waliotawala nchi kwa miaka 30 mfululizo.Wewe JUHA hivi unajua kusoma vizuri?
Hivi unajua Magu ndani ya Miaka 6 tu ya utawala wake, LILIKOPA pesa nyingi kinoma kuliko pesa zote ambazo Kikwete alikopa miaka yote 10 ya UTAWALA Wake?
Geukia na deni la taifa tangu 2016 hadi 2021, afu urudi hapa.
Mambo yapi hayo?Naungana nawewe,huenda ndio sababu inayomfanya Magufuli awe raisi wa kwanza ambae kwa kipindi kifupi mnoo amefanya mambo makubwa ambayo yaliwashinda viongozi wa tatu waliotawala nchi kwa miaka 30 mfululizo.
Huyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.
Zitto Kabwe: Miaka minne ya Magufuli deni la Taifa limeongezeka sawa na miaka 10 ya Kikwete
Unajua kabla ya ku comment ungemuuliza Zitto atoe uchambuzi wa matumizi ya hiyo mikopo iliyochukuliwa wakati wa kikwete na ya wakati wa Magufuli. Ndiyo maana tuna akili tumepewa na Mungu tuzitumie kama kuna mpotoshaji akitokea tuweze kuzitumia. Mfano Tanzania ilikua vituo vya afya 77 tangu...www.jamiiforums.com
Maana kwa Wazungu alikuwa hapati pesa.
Sasa hivi Rais Samia anafanya kazi ya kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa Wazungu ili alipe Mikopo ya KIJUHA aliyokopa Magu.
Deni la Taifa ndio linathibitisha UFISADI wa JPM?
Swali ela alipata wapi na misaada ilikuwa hakuna?
Wafanyabiashara gani while kipindi chake ndio biashara zilikufa kabisa ?
Sidhani kama anamfikia hayatiZitto ni mdini na mkabila sn
Una AKILI timamu?Wafanyabiashara gani while kipindi chake ndio biashara zilikufa kabisa ?
Sidhani kama anamfikia hayati
Ujambazi wa Bureau de change, akaunti za matajiri na mawe ambayo sasa yanaibukia Dubai. Commission za yote uliyoyaorodhesha alikuwa anakula. Kivuko alichokihamishia jeshini. Zitto amesema kama vipi mwende mkazikwe naye Chato.Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???