Stendi ya mbezi haikukamilika,Kijazi interchanrge hapo ubungo haikukamilika? serikali yake yote hakuamia dodoma yote?Sasa mlitaka yakamilike yote kwa miaka 5,hakuna rais aliyeweza kutekereza miradi yake yote kwa miaka 5,hata Magufuri alivyoingia halikamilisha miradi iliochwa na Kikwete ingawa Kikwete katawala miaka 10,mfano interchanrge ya mfugale ya buguruni,Uchumi upi magufuri alivuruga,wakati wa Kikwete mpaka mishara ya wafanyakazi ilikuwa shida, mpaka wafanyakazi walikuwa wanavuka mwezi hadi kufikia tarehe 10-15, mpaka akawa anasababisha migomo ya wafanyakazi kila mala,baada ya magufuri akaanza kulipa mishara tarehe 23 hadi leo, mpaka WB wakatangaza tanzania imengia katika nchi 10 zenye chumi bora Africa,nchi ikaingizwa Uchumi wa kati,Sasa Magufuri alivuruga Uchumi upi waka takwimu wakati wa Kikwete na Magufuri tulinganishe Nani kavuruga Uchumi,huyu Mama yenu kapokea nchi ikiwa nchi ikiwa katika Uchumi wa kati, sasahivi ameushusha,kwa maneno yake mwenyewe.
Ili tujue kama uchumi ulikuwa Bora lazima uniambie alikuta maskini wangapi na kawatoa wangapi kwenye umaskini..
Sasa na wewe tumiradi huto 3 sio twa kupigia kelele kwa miaka 5..
Pili miradi mingi zikiwemo stand na masoko CAG anasema hazina tija kwa sababu hata hazitumiki ilivyokusudiwa awali kwa hiyo is like pesa zimepotea eg Ndugai market,stand kama ya Sumbawanga,soko la kisutu nk..
Hiyo ya eti watumishi salary zilipita mwezi huo ni uongo,mimi ni mtumishi sio tuu tulilipwa kwa wakati bali tuliongezewa salary kila mwaka na kupanda madaraja...
Sasa mbona nyie mnataka Samia amalize miradi yote aliyoiacha Mwendazake kwa mwaka mmja na aanzishe miradi mingine mikubwa..
Tunaposema Magufu aliharibu uchumi tunamaanisha,sekta binafsi ya ujenzi ilikufa refer bei za viwanja kupomoka, biashara kufungwa,posta kubaki nyeupe,majengo na nyumba kupigwa bei na banks kwa sababu watu walishindwa marejesho na bado hazikuuzika..
Pili uwekezaji ulianguka,ajira zikapotea ikabakia kila mtu machinga ilimradi kudunduliza..
Mazao ya kilimo yaliporomoka bei kama mbaazi,ufuta,korosho nk..
Kiujumla list ni ndefu,huko maofisini hadi pesa za kuendesha ofisi hazikuwepo..
Ujenzi unaousema ni ule ulikuwa unafanywa na mashirika ya serikali na Magufuli alitegemea pesa zaidi ya gold,utalii na bandari/ logistics..
Hali ilipozidi kudorora ndio kukamua machinga kwa 20,000 kukaanza,kupora wafanyabiashara pesa,kubabimbikia Kodi kwa argent notice nk nk..