Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Weka orodha fupi ya miradi mikubwa iliyokamilishwa kabla ya shujaa kufaKwamba tangu kipindi cha uhai wake hiyo miradi mingi ilikuwa imeshasimama au imekuwa hivyo baada ya kifo chake?
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Unataka kujua fedha alitoa wapi au unajua lakin unajitia uzuzu?Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Jibu liko hapa chini kutoka andiko:Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

Utakuwa unaliwa si bure; JK alifanya nini kwenye miaka hiyo 10?Wewe JUHA hivi unajua kusoma vizuri?
Hivi unajua Magu ndani ya Miaka 6 tu ya utawala wake, LILIKOPA pesa nyingi kinoma kuliko pesa zote ambazo Kikwete alikopa miaka yote 10 ya UTAWALA Wake?
Pesa zimetoka hapo
1. Kutaifisha pesa za wafanyabiashara kwenye banks zetu
2. Kutaifisha pesa za maduka ya kubadilisha pesa
3. Kukopa mikopo mingi tena yenye riba kubwa na kuweka historia ya deni la taifa
Jibu liko hapa chini kutoka andiko:
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Alikuwa anakopa heavily. Na baada ya kunyimwa bilateral loans akakopa at commercial rates. Yawezekana Ufisadi unatokea mara mbili. Kwa kuwa mikopo ilikuwa Siri yake angeweza kukopa mfano USD 20 kwa ajili ya mradi x anaodai unacost USD 15. USD 5 zimetoweka hapo. Halafu mradi uko inflated. Badala ya kukosti USD 15 unakosti USD 8 USD 7 zimepotea apo. Jumla ya ufisadi ni USD 12 apo.
Unataka kujua fedha alitoa wapi au unajua lakin unajitia uzuzu?
*Ndo rais anaongoza kukopa matrillion kuliko rais yoyote aliyewahi kutawala. Ndani ya miaka 5 tu amekopa zaidi ya trillion 26
*Ndo rais anaongoza kwa dhulma - matajiri wote amekwapua fedha zao kwa nguvu bank. Sio matajiri tu hadi watu wa kawaida, kama una milioni zako 15 zimeingizwa bank, utapewa misukosuko mpaka uzisamehe.
I Guess Kama wewe sio January basi ni Nape maana sio kwa Chuki hizi kwa mpendwa wetu Hayati Dkt John pombe magufuliSikilizia wewe kiazi, soma tena swali lako ulilo uliza halafu soma jibu langu.
Ukimaliza Kanye labda akili zitakurudia.
I Guess Kama wewe sio January basi ni Nape maana sio kwa Chuki hizi kwa mpendwa wetu Hayati Dkt John pombe magufuli
Hawa vijana wa UVCCM na BAVICHA bado hawajakua hawaelewi maisha Mkuu waacheVijana kama Hawa ndio wanategemewa Kulikomboa Taifa
Kazi ipo nchii ina watu Viazi Sijapata Kuona
Umewashinda kwa hoja wamebaki kukutukana tu wakibwatuka hovyo kama ngiri.Naomba unitajie wafanyabiashara wasiopungua 10 ambao JPM alitaifisha pesa zao,bila kusahau kua
mbatanisha na kiasi cha pesa kilichotaifishwa na sababu za kufanyiwa hivyo kwa kila mmoja
Hiyo mikopo mingi ndio mliyosema kwamba alitumia kwenye miradi aliyokuwa ameianzisha,au pesa za kuendesha hiyo miradi alizitoa wapi ikiwa hiyo mikopo aliweka mfukoni kwake?
Vile vile ikikupendeza tutajia na kiasi cha mikopo alichokopa ndani ya miaka yake sita na vile kiasi kilichotumika kwenye miradi yote ndani ya hiyo miaka sita,ili tuweze kujua alichikichia kiasi gani mifukoni kwake!!
Naomba unitajie wafanyabiashara wasiopungua 10 ambao JPM alitaifisha pesa zao,bila kusahau kua
mbatanisha na kiasi cha pesa kilichotaifishwa na sababu za kufanyiwa hivyo kwa kila mmoja
Hiyo mikopo mingi ndio mliyosema kwamba alitumia kwenye miradi aliyokuwa ameianzisha,au pesa za kuendesha hiyo miradi alizitoa wapi ikiwa hiyo mikopo aliweka mfukoni kwake?
Vile vile ikikupendeza tutajia na kiasi cha mikopo alichokopa ndani ya miaka yake sita na vile kiasi kilichotumika kwenye miradi yote ndani ya hiyo miaka sita,ili tuweze kujua alichikichia kiasi gani mifukoni kwake!!
Nenda kariakoo au uliza wizara ya fedha hutaweza kuwafahamu mimi binafsi nina marafiki zaidi ya wanne
Umewashinda kwa hoja wamebaki kukutukana tu wakibwatuka hovyo kama ngiri.
Agiza kinywaji bariiidi nakuja kukulipia maana huu uzi ni bora tangu Hayati JPM afariki dunia.
Mwiba mchungu sana huu kwa kile kikundi cha kuchafua legacy ya JPM [emoji91][emoji119][emoji847]
Hizo pesa zilikopwa kutoka nchi gani au taasisi ipi?Huyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.
Zitto Kabwe: Miaka minne ya Magufuli deni la Taifa limeongezeka sawa na miaka 10 ya Kikwete
Unajua kabla ya ku comment ungemuuliza Zitto atoe uchambuzi wa matumizi ya hiyo mikopo iliyochukuliwa wakati wa kikwete na ya wakati wa Magufuli. Ndiyo maana tuna akili tumepewa na Mungu tuzitumie kama kuna mpotoshaji akitokea tuweze kuzitumia. Mfano Tanzania ilikua vituo vya afya 77 tangu...www.jamiiforums.com
Maana kwa Wazungu alikuwa hapati pesa.
Sasa hivi Rais Samia anafanya kazi ya kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa Wazungu ili alipe Mikopo ya KIJUHA aliyokopa Magu.