mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Ccm kuondoka ni watake wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endelea kuamin hamuna upinzan imara kama mzoga wenu alivyoamin akajikuta amegongwa kila kona na kugeuka jambaz la kura sembuse wewe.Asante sana Endelea kuamini Upinzani Uko imara
fikra mfu hata ghadaff aliamin hivyoCcm kuondoka ni watake wenyewe
mtazamo wako wewe mlamba asali kupitia matozo.Wachache watakuelewa,
Ila uko sahihi two hundred percent
kama wewe na wapumbavu wenzio mlivyoharibiwa huko ccm majiz ya kuraMbowe ameharibu Sana upinzani
MkuuDaily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !
Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!
Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya
Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!
Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali
Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,
Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,
Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!
Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..
NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze
Britanicca
Hakika CCM Kwa misingi nayoona Kila mtu atakufa aiache madarakaniCcm kuondoka ni watake wenyewe
Kwenye post ya mtoto unatafta nini?Mzee huwa unaongea utoto gani, au ndio hayo mambo ya mtu akizeeka hugeuka kuwa mtoto? Nimesoma post yako namba yaani yaani ni utoto mtupu umeongea.
Kwenye post ya mtoto unatafta nini?
Na huo ndio ukweliHakika CCM Kwa misingi nayoona Kila mtu atakufa aiache madarakani
Ndio maana hapa unathibitisha upunguani wako. Unauliza mbadala wao wanaaminika wakati mwenyekiti wa ccm anaiba chaguzi kila kukicha! Kama hawaaminiki, mwenyekiti wa ccm asingeiba chaguzi.We Mpuuzi nani kakwambia tume HURU utapewa na CCM ? Ndo kazi moja wapo ya vyama vya siasa vya Upinzani ! Huoni mpaka hapo una prove nachoongea “ think at your mundane level boy
Kwa mantiki yako ni kwamba CCM bora waendelee kuwepo madarakani! Lkn mimi naamin practically and not theoretically. Mpe mtu nafas uone ndipo utajua anamudu au hamudu!!Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !
Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!
Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya
Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!
Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali
Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,
Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,
Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!
Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..
NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze
Britanicca
Mkuu britanicca , kiukweli Tanzania hatuna upinzani wa kuitoa CCM!. Estimates zangu serious opposition itaanza 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya
Britanicca
Naam CCM inakuwapo bado Kwa mazingira nayoonaMkuu britanicca , kiukweli Tanzania hatuna upinzani wa kuitoa CCM!. Estimates zangu serious opposition itaanza 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Chadema forever.Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !
Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!
Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya
Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!
Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali
Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,
Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,
Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!
Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..
NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze
Britanicca
Lakini mkuu si upo ccm. inakuwaje tena hutaki chama chako kiendelee kuwa madarakani.ajabu sana hii.Mkuu britanicca , kiukweli Tanzania hatuna upinzani wa kuitoa CCM!. Estimates zangu serious opposition itaanza 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Mbaya zaidi mtoa hoja hatoi way foward kuwa hao wapinzani wafanyeje ili kushika dola na kuwa na viongozi bora.kaishia kulaumu .Kinachokusumbua mleta mada ni 'uwoga wa mabadiliko".
Watu Kama ninyi huwa hata ktkmaisha binafsi hamtoboi, kwasabb mnaogopa sana kuthubutu.
Nina hakika mleta mada huna hata biashara ya kukuingizia buku 2 kwa siku.
Mbadala halisi ni kuwa na chama kisichokuwa na MONOPOLY ya MAAMUZI ya NCHI.Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !
Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!
Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya
Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!
Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali
Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,
Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,
Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!
Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..
NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze
Britanicca
Mkuu Kabwe Katali , tuna tatizo kubwa humu JF, watu hawasomi thread, wanaishia kusoma heading only!. Kwa kukusaidia na wengine wa aina yako Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Lakini mkuu si upo ccm. inakuwaje tena hutaki chama chako kiendelee kuwa madarakani.ajabu sana hii.
Natumaini umenielewa.Angalizo: Nimesema ni mwanzo wa mwisho wa CCM, sijasema ni mwisho wa CCM!. Hivyo kipindi chote hiki kutoka sasa hadi hiyo 2030, CCM haitajikalia tuu hivi hivi tuu kusubiria kufa kibudu, CCM wakati wote itakuwa busy kutekeleza ilani yake ili muda wa uchaguzi ulifika, CCM iibuke na kusema tuliahidi, tumetekeleza, hivyo kuzidi kujiimarisha ili kuendelea kutawala milele!.
Hivyo wale wote wenye hasira na CCM, nawashauri washushe pressure zao, kwa sasa kwa siasa za Tanzania, mpango mzima ni CCM, uchaguzi wa 2020, karibu majimbo yote yaliyokuwa yanashikiliwa na upinzani, yatarejeshwa CCM, na Tanzania kuwa nchi ya chama kimoja, kwa miaka 10, kuanzia 2020 hadi 2030.
Hiki ni kipindi cha upinzani kujijenga upya, kwa kuhakikisha, tunabadili sheria ya uchaguzi, kuutoa ujinga wa kudhaminiwa na vyama na kuruhusu wagombea binafsi, tunasawazisha uwanja wa mchezo wa siasa kwa kutengeneza a level playing field, ili kufanya uchaguzi katika ushindani sawia, na kuifanyia maboresho Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo japo ni Tume Huru ila sio Inclusive, hivyo Tume itafanywa more inclusve ili kuwapata viongozi wasio na vyama, na makamishna, wajumuishe wawakilishi wa vyama vikubwa angalau toka vyama vitatu vikuu. Na hapa sasa ndio tutaona kuibuka kwa upinzani wa kweli ambao utaanza tena 2030!.
I pray to God, to grant me the privilege to witness this day.
Paskali