Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !

Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!

Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya

Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!

Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali

Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,

Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,

Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!

Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..

NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze

Britanicca
Bhana eh hakuna Cham Cham kuweza kufanya nchi itulie .
Kwanza chadema niwanafiki balaa .

Ndio wengine Bora uishi na mtu unayemjua kushinda kuleta mtu mpya uzingue
 
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !

Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!

Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya

Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!

Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali

Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,

Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,

Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!

Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..

NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze

Britanicca
Opposition wengi ni watu wa kitengo,baada ya kuporomoka USSR,tulibanwa mbavu la sharti la kuwa na vyama vingi kuendesha siasa.Sasa Mwalimu Nyerere,the Genius akatafuta vichwa kule Eagle house viende kuanzisha opposition parties Ili wahisani waone tupo serious na uongozi wa Kidemokrasia,wapi!!
Wakina Mrema,Marando,Mbatia,Maalim Seif na leo tuna Freeman Mbowe.
Mwaka 2015 sarakasi zilizopigwa kati ya Dr Slaa na Mbowe mpaka Lowassa anakuwa mgombea,ni hatari!
Mbowe msanii sana na anaendesha operations kwa akili sana,na ukijaribu kuleta upinzani wa kweli you are finished (refer Chacha Wangwe na Zitto Kabwe).Na juzi alivyopaki basi kuitetea CCM mbele ya Manyumbu FC[emoji1787][emoji1787]
 
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !

Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!

Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya

Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!

Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali

Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,

Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,

Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!

Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..

NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze

Britanicca
Upinzani ni mfumo usiokubaliana na mifumo iliyopo.
Tatizo wewe umewaangalia watu fulani waliopo upinzani na madhaifu yao.
Lakini kwangu Mimi naamini hata ndani ya ccm yenyewe Kuna upinzani mkali sana!
Wananyukania nini... Maslahi binafsi, sifa, kuabudiwa, mali, starehe, ufahari, n k!

Kwa mazingira hayo; Ili upinzani uwe makini ni sharti tuwe na wananchi wenyewe uelewa mkubwa na utimamu wa akili!
Tofauti na hapo
 
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !

Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!

Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya

Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!

Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali

Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,

Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,

Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!

Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..

NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze

Britanicca
Ukweli mtupu
 
Kuna watawala.na watawaliwa. Hakuna mbadala ila kula rangi tofauti. Wanabaki walewale kwa rangi tofauti. Sasa hii kwa tz hatujaiwezea. Unaweza tengeneza vyama hata vitatu vyote ni Pro Tanzania.
 
Kwanini hampambanii kutokomeza ulaji wa mali za Umma, Rushwa kila kona na ubadhirifu wa kufa mtu?
Hakuna alie na nia ya kuendelea kama Taifa
Iwe chama tawala wala upinzani
Hapa kila mmoja anashikilia mpini ili aendelee kula tu

Hakuna maendeleo ya dhati na umasikini utakuwepo hata beyond 2050
 
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi hawakimbii kwingine ? Ni kwasababu huko kwingine ni mzaha hakuna nia ya dhati ya kumkomboa Mtanzania !

Inafika hatua mtu anaona kutoka Upinzani kuhamia CCM ni ame improve Cv kuliko kutoka CCM Kwenda Upinzani!

Najiuliza maswali mengi juu ya Upinzani wetu wa Tanzania juu ya nia yao ya kweli kuitoa CCM madarakani siioni ila nachoona ndani Upinzani wanaenda asilimia kubwa waliokosa Ulaji ndani ya System wanapata platform ya kusemea, ila wakiitwa kuweka mambo sawa na Masalahi juu unashangaa wanakaa Kimya

Nimejipa time frame ya Miaka nane toka sasa uwenda CCM ndo utakuwa imeimarika zaidi ya ilivyo sasa kutokana na aina ya mchezo wanaoucheza kisiasa huku wapinzani wakisubiri wapangiwe jinsi gani wafanye siasa na washindani wao!

Vijana na watoto wadogo wenye tecno wanashindwa kutambua kwamba wako hapa kutetea vibaraka wa serikali

Mpinzani wa kweli nchii ni watu wawili ila top layer ya vyama vyote vya Upinzani ni vibaraka wa CCM na system inawatambua sana,

Wa awamu ya sita aliingia bila kujia baadhi ya misingi akaambiwa hii haiendi hivyo iache Hivi,

Wachunguzeni Viongozi WENU wa vyama vya Upinzani na mnaowasikiliza mtagundua ikiwa too late !!!!

Mungu ni Mkubwa na wengine mwaka tunaouanza hawataumaliza washatwangana ngumi…..

NB Upinzani unatumika Kama platform ya kusemea uonekane ili serikali ikupe kitengo na unyanaze

Britanicca
Upinzani wakweli utatoka humohumo CCM
 
Ni dhahiri kuwa huna kabisa uelewa wa dhana nzima ya mfumo wa vyama vingi vya siasa, upinzani wa kisiasa na mfumo wa demokrasia kwa ujumla. Na ulichoandika kinaakisi “talking points” za propaganda za CCM. Si rahisi kwa mtu mwenye akili akakutilia maanani.
 
Wewe jamaa ni mpumbavu, mambo huja na kuondoka hivyo CCM wataondoka hata Kama unaona hakuna alternative. Na kukukumbusha ni kuwa hakuna chama ambacho ni mbadala ya kingine.
Asante
 
Back
Top Bottom