Sawa mmeichoka CCM, je mbadala wao mna waamini!?

Mkuu

Ulisemalo ni kweli kabisa Mkuu

Nashangaa Mnyika anatangaza eti 2025 wataweka mgombea KILA Jimbo !

Sasa najiuliza KWA katiba ipi HASA!? Hii hii au nyingine!!?

Wanataka wapewe majimbo ili wapate ulaji !!

Acha wale!

Mungu IBARIKI NCHI YETU TANZANIA
 
Mzee huwa unaongea utoto gani, au ndio hayo mambo ya mtu akizeeka hugeuka kuwa mtoto? Nimesoma post yako namba yaani yaani ni utoto mtupu umeongea.
Kwenye post ya mtoto unatafta nini?
 
We Mpuuzi nani kakwambia tume HURU utapewa na CCM ? Ndo kazi moja wapo ya vyama vya siasa vya Upinzani ! Huoni mpaka hapo una prove nachoongea “ think at your mundane level boy
Ndio maana hapa unathibitisha upunguani wako. Unauliza mbadala wao wanaaminika wakati mwenyekiti wa ccm anaiba chaguzi kila kukicha! Kama hawaaminiki, mwenyekiti wa ccm asingeiba chaguzi.
 
Kwa mantiki yako ni kwamba CCM bora waendelee kuwepo madarakani! Lkn mimi naamin practically and not theoretically. Mpe mtu nafas uone ndipo utajua anamudu au hamudu!!
 
Mkuu britanicca , kiukweli Tanzania hatuna upinzani wa kuitoa CCM!. Estimates zangu serious opposition itaanza 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Si tumeamua wenyewe watanzania kama ccm mmeiba vya kutosha waachieni na wenzenu chadema waibe kwani si watanzania.
 
Chadema forever.
 
Kinachokusumbua mleta mada ni 'uwoga wa mabadiliko".

Watu Kama ninyi huwa hata ktkmaisha binafsi hamtoboi, kwasabb mnaogopa sana kuthubutu.

Nina hakika mleta mada huna hata biashara ya kukuingizia buku 2 kwa siku.
Mbaya zaidi mtoa hoja hatoi way foward kuwa hao wapinzani wafanyeje ili kushika dola na kuwa na viongozi bora.kaishia kulaumu .
 
Mbadala halisi ni kuwa na chama kisichokuwa na MONOPOLY ya MAAMUZI ya NCHI.
 
Lakini mkuu si upo ccm. inakuwaje tena hutaki chama chako kiendelee kuwa madarakani.ajabu sana hii.
Mkuu Kabwe Katali , tuna tatizo kubwa humu JF, watu hawasomi thread, wanaishia kusoma heading only!. Kwa kukusaidia na wengine wa aina yako Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Natumaini umenielewa.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…