Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont wish for)