maajabu sana, wanakataa kwa sababu hawana uwezo wa kuzitunza ndoa zenyewe sio kwamba wanapendaDah!Hao jamaa wanajikakamua tu ila ukweli wanaujua.Unakataa ndoa ili uwe "bibie" wa watu?
Hebu tusubiri utetezi wao wa kuchekesha.maajabu sana, wanakataa kwa sababu hawana uwezo wa kuzitunza ndoa zenyewe sio kwamba wanapenda
Hapa watapinga, watawasingizia wanawake kuwa hawaeleweki kumbe ni wao ndo hawaelewekiNaamini kwa asilimia kubwa ni sababu za kiuchumi ndio zinapelekea watu wakimbie majukumu.
Ingawa unaweza sema mbona kina Bill Gates hawajaoa, walioa kwanza.
Vijana wa hovyo wamepita na mbususu ya mkeo nini🤣🤣🤣🤣Sera ya kukataa ndoa isibakie kwenu tu ila pia mkatae na ndoa za wengine ili msiziingilie.
Tofauti na hapo mnakuwa tu kama kikundi cha vijana matapeli mjini.
Maana kutokana na historia ya matukio kitakachofata kwenu mara nyingi ni either death, ulemavu au kuziburia choo (something you really dont wish for)
na ukweli mwingine ni kwamba anayezini na mwanamke hana akili kabisa, yawezekana kweli wake zetu ni malaya na hao wanaozini na wake zetu hawana akiliUkweli ni kwamba wake zenu ni malaya tu ...