Sawa mnasema Polepole ni muongo, lakini mnamuona Angela Kizigha na Samia ukaribu wao?

Kiziga alipewa tenda na JPM, akaiba kipindi cha JPM, JPM na machachari yake yote hakumchukulia hatua-walipiga wote
Kwahiyo saa hizi ni zamu yao kujipimia kwa urefu wa kamba zao na bi Mwenda hivyo hakuna haja ya kusikiliza nje huko wanasemaje?
 
Nyumbu
 

Ndio maana alipelekwa mbali ili asahaulike. Hakuna aliyetegemea kuyaona haya.

Wakubwa wameachwa wazi. Tunajua yanayoendelea.

Trust is gone once more......

Hii surprise imevuruga hata wenye ubabe wao
 
Aisee, mkuu wewe umejuaje Angela na Mama Samia wamekutana from nowhere?
Unawajua marafiki woote wa Rais?...

Ina maana Rais haruhusiwi kuwa na marafiki?

Safarini Hodeidah Yemen.
 
Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.
Baada ya yote hayo Kikwete aka fanya mbinu baada ya Magufuli kufariki Membe akarudishwa ccm! Na mkwere alikuwa na mpango wa kumfanya mgombea mwenza wa Urais mwaka huu kama angekuwa hai!!
 
Wenyewe dhamana za viapo, chukueni Hatua kuioko Tanzania
 
Baada ya yote hayo Kikwete aka fanya mbinu baada ya Magufuli kufariki Membe akarudishwa ccm! Na mkwere alikuwa na mpango wa kumfanya mgombea mwenza wa Urais mwaka huu kama angekuwa hai!!
Duu noma sana, basi maza ana inteli Kali sana,
 
Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.
Baada ya yote hayo Kikwete aka fanya mbinu baada ya Magufuli kufariki Membe akarudishwa ccm! Na mkwere alikuwa na mpango wa kumfanya mgombea mwenza wa Urais mwaka huu kama angekuwa hai!
Rafiki wa adui yako hawezi kuwa rafiki yako! Magufuli made a terrible blander to believe that Kikwete was rational and that facilitated his undoing 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…