BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Aisee nachukia sana.Hivi humu hakuna mwenye zile sauti zilizo rekodiwa zikimsema Magu? Kuna sehemu Membe anamwambia jk goli lipo wazi ni yeye tu kubutua mpiga uingie nyavuni.
Aisee nachukia sana.Hivi humu hakuna mwenye zile sauti zilizo rekodiwa zikimsema Magu? Kuna sehemu Membe anamwambia jk goli lipo wazi ni yeye tu kubutua mpiga uingie nyavuni.
Picha iko wapi? Kiziga ndo nani?picha inaleta utamu zaidi na kuaminika.
Ni Kizigha.Picha iko wapi? Kiziga ndo nani?
Kwahiyo saa hizi ni zamu yao kujipimia kwa urefu wa kamba zao na bi Mwenda hivyo hakuna haja ya kusikiliza nje huko wanasemaje?Kiziga alipewa tenda na JPM, akaiba kipindi cha JPM, JPM na machachari yake yote hakumchukulia hatua-walipiga wote
NyumbuUkiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja.
Kwanza kwanini Kizinga from no where awe mtu wa karibu sana wa Samia? Kumbukeni enzi Samia akiwa makamu na hata siku za mwanzo za urais wake hawa watu hawakuwa karibu kabisa. Ukimuangalia jinsi anavyoratibu mambo ni kama katibu wake. Lipo jambo.
Kwanini huyu katibu wake ahusishwe na ufisadi wa tenda za jeshi? Lakini jueni kuwa ni kweli anasambaza vifaa vya jeshi ikiwemo jezi za kazi. Kwanini ajiweke karibu na Rais wakati tayari ana tenda nyeti? Anatafuta nini la zaidi kwenye ukaribu huo?
Hapana, kuna kitu lazima tumuelewe Polepole.
Kwanini Magufuli from no where alimfukuza Membe CCM? Kumbukeni hatukuwahi kuelezwa sababu za Membe kufukuzwa. Lipo jambo na Polepole si wa kupuuzwa tena.
NyumbuKwahiyo saa hizi ni zamu yao kujipimia kwa urefu wa kamba zao na bi Mwenda hivyo hakuna haja ya kusikiliza nje huko wanasemaje?
Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja.
Kwanza kwanini Kizinga from no where awe mtu wa karibu sana wa Samia? Kumbukeni enzi Samia akiwa makamu na hata siku za mwanzo za urais wake hawa watu hawakuwa karibu kabisa. Ukimuangalia jinsi anavyoratibu mambo ni kama katibu wake. Lipo jambo.
Kwanini huyu katibu wake ahusishwe na ufisadi wa tenda za jeshi? Lakini jueni kuwa ni kweli anasambaza vifaa vya jeshi ikiwemo jezi za kazi. Kwanini ajiweke karibu na Rais wakati tayari ana tenda nyeti? Anatafuta nini la zaidi kwenye ukaribu huo?
Hapana, kuna kitu lazima tumuelewe Polepole.
Kwanini Magufuli from no where alimfukuza Membe CCM? Kumbukeni hatukuwahi kuelezwa sababu za Membe kufukuzwa. Lipo jambo na Polepole si wa kupuuzwa tena.
JF hakuna nyumbu , nenda Serengeti au Maasai Mara utawakuta.Nyumbu
Niguse NinukeMembe alifukuzwa na CCM Muwage mnaelewa
[emoji3][emoji3]kumbe ulikuwa mkwala tu!Niguse Ninuke
By Bernard Kamilius Membe
Baada ya yote hayo Kikwete aka fanya mbinu baada ya Magufuli kufariki Membe akarudishwa ccm! Na mkwere alikuwa na mpango wa kumfanya mgombea mwenza wa Urais mwaka huu kama angekuwa hai!!Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.
Duu noma sana, basi maza ana inteli Kali sana,Baada ya yote hayo Kikwete aka fanya mbinu baada ya Magufuli kufariki Membe akarudishwa ccm! Na mkwere alikuwa na mpango wa kumfanya mgombea mwenza wa Urais mwaka huu kama angekuwa hai!!
Baada ya yote hayo Kikwete aka fanya mbinu baada ya Magufuli kufariki Membe akarudishwa ccm! Na mkwere alikuwa na mpango wa kumfanya mgombea mwenza wa Urais mwaka huu kama angekuwa hai!Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.