April7
Member
- Aug 5, 2019
- 36
- 70
ulichotakiwa kusema ni kuwa "tangu harmonize atoke WCB kwa wakati ambao mm napata muda wa ku-tune Wasafi Tv sijawah kuona wimbo wa harmonize ukichezwa"WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
kwa maana sidhani kama unatazama Tv muda wote,mm nakutana na nyimbo za harmonize mara nying zikichezwa kwenye lile tambara la Wasafi Tv.
Hao Mawingu hawachez hata wimbo alioshirikshwa Diamond yaan hata kama kuna msanii kamtaja jina kwenye wimbo wake Dj anaminya ili tu hicho kipande kisisikike.
Binafsi nawasifu Wasafi Tv kwa kutoendekeza mabifu kwenye media