Sawa tumekubali Harmonize atapotea. Je,WCB ina uwezo wa kumtengeneza Harmonize mwingine?

WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
ulichotakiwa kusema ni kuwa "tangu harmonize atoke WCB kwa wakati ambao mm napata muda wa ku-tune Wasafi Tv sijawah kuona wimbo wa harmonize ukichezwa"
kwa maana sidhani kama unatazama Tv muda wote,mm nakutana na nyimbo za harmonize mara nying zikichezwa kwenye lile tambara la Wasafi Tv.
Hao Mawingu hawachez hata wimbo alioshirikshwa Diamond yaan hata kama kuna msanii kamtaja jina kwenye wimbo wake Dj anaminya ili tu hicho kipande kisisikike.
Binafsi nawasifu Wasafi Tv kwa kutoendekeza mabifu kwenye media
 
WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
Nyimbo za Konde zinapigwa sana kwenye Radio ya Wasafi, kwenye tv sina hakika maana huwa sitazami.
 
Harmonize ameachieve kitu gani kikubwa zaidi ya Wasanii wengine wa WCB?

Rayvanny vitu alivyo achieve.
1.Tuzo ya BET
2.Kupiga show kwenye tamasha la Essence US,ambao lilijumuisha mastaa wengi
View attachment 1223543

3.Nyimbo yake ya Tetema imekuwa streamed mara mil 1 Sportfy ndani ya miezi miwili.Hapo hujagusa Itunes,Tidal,Shazam nk.
View attachment 1223546

Hivyo vitu vitatu hata Mondi mwenyewe hajawahi achieve kwenye maisha yake ya mziki.
Acha ujinga. ndo nyie mnapima ma viewers kwenye nyimbo ndo mafanikio eti..

Kuanzia mwaka jana na huu kuna msanii hapa aliyemzidi harmonize kwa kupiga show nyingi??

Na vipi show ya one music festival alilopiga marekani na mastaa kibao kisha wakahamia uingereza??

Kwa hiyo hayo unayosema mafanikio Ray Vanny kayapata ndo kampita mondi sasa??

Ficha ujinga wako
 
Nitajie hiti zilizo mtambulisha Harmonize kimataifa ambayo hayupo Diamond?

Mondi anafanya vile sababu as induction kwa wasanii wake ile exposure,umaarufu alikuwa nao yy kupitia collabo ina mbeba msanii wake.

Jahpreyah wakati anachukua tuzo ya MTV MAMA,alimshukuru Diamond sababu collabo ili mbeba na kumtambulisha sehemu mbali mbali sio huyo itazame Yobe original na Rmx,lkn inayovuna na kutrend ni rmx.
Jah preyah anatoka sayari gani??
 
Acha ujinga. ndo nyie mnapima ma viewers kwenye nyimbo ndo mafanikio eti..

Kuanzia mwaka jana na huu kuna msanii hapa aliyemzidi harmonize kwa kupiga show nyingi??

Na vipi show ya one music festival alilopiga marekani na mastaa kibao kisha wakahamia uingereza??

Kwa hiyo hayo unayosema mafanikio Ray Vanny kayapata ndo kampita mondi sasa??

Ficha ujinga wako
Nimesema wapi kampita Diamond?

One Africa haifanani na Essence festival hata robo.

Ficha ujinga wako hebu soma tofauti ya stream sportfy na views Youtube.

Youtube kitonga,Sportfy unalipia ndio una stream.

Mwaka huu Rayvanny kapiga show nyingi na zenye hadhi ya juu kuliko Harmonize na ana miliki record kubwa sportfy.

Angalia matamasha aliyopiga Rayvanny mwaka huu,angalia list ya hao wasanii fananisha na One Africa.
images (8).jpeg

Screenshot_20191005-103521.png
 
WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
Unaangalia wasafi TV ya nchi gani? Nyimbo za Rich mavoko, harmonize mbona zinapigwa sana tu
 
WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
Wewe ni muongo usijfanye Wasafi TV unatazama pekee yako nyimbo za harmonize wasafi TV zinapigwa NA Jana nimeona wakipiga wimbo wa Magufuli acha uongo.
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]nme bakiza tu kusikia mwanaume aki taja (harmo love) umu

Vijana tafuteni kazi
 
Nimesema wapi kampita Diamond?

One Africa haifanani na Essence festival hata robo.

Ficha ujinga wako hebu soma tofauti ya stream sportfy na views Youtube.

Youtube kitonga,Sportfy unalipia ndio una stream.

Mwaka huu Rayvanny kapiga show nyingi na zenye hadhi ya juu kuliko Harmonize na ana miliki record kubwa sportfy.

Angalia matamasha aliyopiga Rayvanny mwaka huu,angalia list ya hao wasanii fananisha na One Africa.
View attachment 1224050

View attachment 1224051
Wewe tushakuzoeaga..
Maji utayafanya yawe mafuta chenga ziwe mchele
 
He Pals,,,,

I hope mko gud Ryt,,,,

okay, Freshhhh

Moja ya mijadala mingi iliyoko mitandaoni ni kuhusu Harmonize kujiondoa Kwenye lebo yake ya WCB,Ukifuatilia comment za mijadala hiyo wengi mashabiki wa Diamond platnumz (WCB) wanadai huo ndo mwisho wa Harmonize,in short atapotea kwenye game,Hilo hatuwez kubishana nalo coz ndo mfumo wa mziki wetu kuwa mikonon mwa baadhi ya watu.

Ila swali Langu ni je,WCB wana uwezo na nguvu tena ya kumtengeneza Harmonize mwingine?

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kuna lebo ilikuwa inajigamba kumtengeneza JAYZ na kumfikisha pale alipo,Siku moja Jayz akiwa anahojiwa na kituo kimoja aliulizwa kuhusu Hao watu wanao jigamba kumtengeneza yeye,Jayz aliwajibu "Kama ni rahisi kumtengeneza Jayz Basi wamtengeneze Jayz mwingine"

Swali Langu bado ni lile lile,Je WCB wanao uwezo tena wa kumtengeneza msanii wa levo ya Harmonize? Mana kwa wasanii walioko pale WCB hakuna wakufika Hata nusu ya Levo ya Harmonize ukimwondoa Diamond.

#Jimmy-The-Inimitable
Sasa huyo Harmo alikuwa na nini cha maana zaidi ya kukopi kila kitu kutoka kwa Diamond.
 
Jamii forum nyumba ya kujenga hoja zinazo ambatana na tangible evidence,kama una hoja weka hapa to prove me wrong.
Mtu mzima ni yule anayejenga hoja. na sio kuokoteza vipicha na screenshot..

Ndo tunafanyaga hivyo
 
Back
Top Bottom