Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
hahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahhahahah'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahhahahah'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE
Makonda kwa matendo yake aliwagawa wana CCM vipande viwili kwa matendo yake yasiyo ya heshima na kiungwana. Sasa aachwe ale na "wakwao" . Ataadhirika mtaani pengine zaidi ya magesa mulongo. Kila lenye mwanzo line mwisho, atambue mwisho wake umefika, alijua "formula" ya kumdhibiti JPM itadumu milele sasa mwisho wake umefika. Namnukuu tu JPM "huyu hafai hata kuwa katibu tarafa ana tamaa sana"Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.
Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.
Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.
'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.
Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.
Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.
'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
GENTAMYCINE , napenda sana analysis zako humu, ubarakiwe... unajitahidi sana kutoa analysis nzuri- hongera ndugu
GENTAMYCINE,
Amesisitiza kuwa alifanikiwa kuzirejesha serikalini nyumba zaidi ya 50 zilizouzwa kinyemela!
Aisee!!! Kwa hiyo hilo ndilo muhimu kuliko lile la majitaka yanayotiririshwa sokoni kariakoo na maeneo jirani (kipindupindu alikikuta na amekiacha kama alivyokikuta!!)Wanaume wa Dar washukuru wamepona kupimwa tezi dume nyumba kwa nyumba [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1526032
Kwako nyeusi ni nyeusi,Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.
Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.
Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.
'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
Amen na iwe hivyo...Akhsante, Shukran na tupo pamoja Mkuu. Ashukuriwe sana tu Mwenyezi Mungu kwa 'Zawadi' yake Kubwa aliyonipa ndani ya 'Ubongo' wangu huu.
Limezoea kulia lia huko kwenye 'makanisa' ya wapigaji wenzake.Tena lililopitiliza kabisa Mkuu. Linapewa Fursa ya Kuaga lenyewe linaanza Kujisifia na Kutia Huruma kama vile analazimisha JPM amkumbuke tena.
Lilikuwa zigo la maviUnaambiwa leo baada ya kutoka tu pale Ilala Boma Wafanyakazi wamefurahi ile mbaya, kwani Wametua rasmi 'Zigo' lililokuwa likiwakera.
Nitamtukuza Mungu akimweka hadharani matendo yake ili vijana wote wanao pata nafasi wajifunze na wasirudie Tabia kama zako. Ulisema wewe ni MTU unakula Raha dunian SASA tuone vile utazila hizo Raha maana kila mlango utagonga utafungwa mpaka ujuwe Mungu alichukizwa na kufuru zako. Wanaumwa wanatumia ist na wewe utatumia tena Sio ist Tu ikiwezekana na miguu pia utatembea.Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala hawakutaka Sifa za 'Kipuuzi' hizi kama zako.
Kuhusu Kutuita Sisi 'tunaokukosoa' na 'tusiokupenda' tena wakiongozwa na Mimi mwana CCM na mwana Simba SC Mwenzako kuwa ni ' Mbwa Mwitu ' tunaopenda ' Kubwekabweka ' hovyo wala hujakosea. Ni huku huku 'Kubwekabweka' Kwetu ndiyo kumekufanya hata juhudi zako za ' Kutia Nia 'Jimbo la Kigamboni' zifeli ' jambo ulihonga mno Pesa zako za Dhuluma.
Na ulivyo na Matatizo makubwa ya Akili 'Kichwani' umepewa nafasi fupi tu ya Kushukuru na Kumwacha 'Mteuliwaji' mpya aanze 'Majukumu' yake ya Kutuhudumia wana 'Mzizima' Wewe unaanza Kutoa Kauli zako za Kutia 'Huruma' na kama vile unamwambia Rais JPM kuwa 'Akuteue' tena wakati tunajua 'alikuonya' kuwa usiende Kigamboni na Wewe ukamuanisha kuwa Utashinda tu.
'Mbwa Mwitu' Mwandamizi Mimi GENTAMYCINE namalizia hapa kwa Kukuambia ya kwamba Kila lenye Mwanzo huwa lina Mwisho na kama ulidhani labda pamoja na ' Ushirikina ' wako pamoja na Kuwatumia Viongozi wa Dini wakubwa wa Kikristo na Kiislamu hadi kuwapa Vijana wa Mtandaoni Pesa ili JPM akukumbuke tena basi umechelewa na sasa pambana tu na Hali yako. Huna tena chako ndani ya Moyo wa na Roho ya JPM wala katika Seriakali yake na wala ndani ya CCM. Umeshakwisha Kimoja!
Hiyo ndiyo jeuri yake akiguswa tu ananukaUsifanye haraka kufikia hitimisho Mkuu, yajayo ya Mkuu wa Kaya hatuyajui. Huyu jamaa ana siri nyingi sana za mambo yaliyofanyika hapa Dar na hata Dodoma kuachwa hivihivi bila kumfadhiri. Anaweza kuimba kama canary watu wakapata tabu sana! Katika mambo haya kuna choice mbili, eidha kumpotezea au kumfadhiri na kumhifadhi sehemu nyingine. Hatujaona mwisho wa Makonda bado, bado sana!
Huu msemo wa empty set umenikumbusha mbali sana hapa JF. Itoshe kusema kuwa Makonda ameanza kukonda roho na mwili.Jamaa ni empty set
No, never.Did you expect zero brain to act wisely?
Makonda bana huyu jamaa namkubali kila hotuba yake lazima awashike watu tako.