Sawa tunaokukosoa unatuita 'Mbwa Mwitu'. Je, sisi ndiyo tulikufanya uuache Ukuu wako wa Mkoa ili 'ukagaragazwe' Kigamboni?

Makonda kwa matendo yake aliwagawa wana CCM vipande viwili kwa matendo yake yasiyo ya heshima na kiungwana. Sasa aachwe ale na "wakwao" . Ataadhirika mtaani pengine zaidi ya magesa mulongo. Kila lenye mwanzo line mwisho, atambue mwisho wake umefika, alijua "formula" ya kumdhibiti JPM itadumu milele sasa mwisho wake umefika. Namnukuu tu JPM "huyu hafai hata kuwa katibu tarafa ana tamaa sana"
 

GENTAMYCINE , napenda sana analysis zako humu, ubarakiwe... unajitahidi sana kutoa analysis nzuri- hongera ndugu
 
GENTAMYCINE , napenda sana analysis zako humu, ubarakiwe... unajitahidi sana kutoa analysis nzuri- hongera ndugu

Akhsante, Shukran na tupo pamoja Mkuu. Ashukuriwe sana tu Mwenyezi Mungu kwa 'Zawadi' yake Kubwa aliyonipa ndani ya 'Ubongo' wangu huu.
 
Kwako nyeusi ni nyeusi,
Nyeupe ni nyeupe.
Makonda ni miongoni mwa binadamu wanaojiona wakamilifu wakati mwingine kuliko hata Malaika, wakati anaishi na kupanda chati kwa kutumia uovu. Alichonacho cha halali ni mke tu, maana hata mtoto ni wa Kichina, Mali za wizi, mshahara aluokuwa anapokea ni haramu maana unatokana na Elimu batili.
 
Nitamtukuza Mungu akimweka hadharani matendo yake ili vijana wote wanao pata nafasi wajifunze na wasirudie Tabia kama zako. Ulisema wewe ni MTU unakula Raha dunian SASA tuone vile utazila hizo Raha maana kila mlango utagonga utafungwa mpaka ujuwe Mungu alichukizwa na kufuru zako. Wanaumwa wanatumia ist na wewe utatumia tena Sio ist Tu ikiwezekana na miguu pia utatembea.
 
Hiyo ndiyo jeuri yake akiguswa tu ananuka
 
Du kila akipiga mayowe ndio anazidi kuzimika,bora kunyamaza akasubiri miscellaneous posts.
 
Makonda bana huyu jamaa namkubali kila hotuba yake lazima awashike watu tako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…