Sawa tunaokukosoa unatuita 'Mbwa Mwitu'. Je, sisi ndiyo tulikufanya uuache Ukuu wako wa Mkoa ili 'ukagaragazwe' Kigamboni?

Nanyie mmezidi kumfatafata wacha awape makavu. Hamlali na wake zenu kila saa mnamtaja taja makonda. Na angekuwa rijali sawa sawa yule angekugongeni nyie na wake zenu. Shwain
 
Jamaa atarudishwa kwenye system kwa kishindo.
You wait !
 
Pamoja na kwamba una akili ndogo nakukubali Sana na naamini wanajf waliowengi wanakupenda ila hawakuonyeshi wazi kwasababu ya upopoma wako .
 
Sisi hatuna neno jipya maana wenye mtumishi wenu tayari mmesha maliza kila kitu.

Nyoka mmemfuga mwenyewe sasa amekua na kuota meno ameanza kuwakimbiza kutaka kuwang'ata.
 
Hivi alipima marinda? Najua ametupwa yameisha!
 
Lakini JPM alimtaja mwananzila'
 
Hizo ni frustration tu kukosa kazi,plus yale makalio yake makubwa na hips uchanganye na kushinda nyumbani unalea mtoto wa kupandikiza inahitaji moyo.
 
Amchukue akaishi nae Chamwino na badae 2025 aende nae Chato. Tunayahitaji mabaki ya mwili wa Ben Saanane,Bora Lissu yupo hai japo ni mlemavu wa kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…