Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF.
mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine.

Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
 
unaweza kusema ndio mtandao wa kisiasa worldwide kabla ya kuitwa X
 
Tbc , channel ten na wajukuu zao vipoooo vitatumika mwanzo mwisho🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭
 
Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF.
mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine.

Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
Utawala wa Tanzania una urafiki mkubwa sana na Utawala wa Korea ya Kaskazini, urafiki wao ni wa tangu enzi za Awamu ya Kwanza ya Mwl. Nyerere. Huenda wanataka kuweka utaratibu kama huo ambao upo huko Korea ya Kaskazini.
 
Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF.
mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine.

Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
Ukifungwa tutatambua nani mzalendo na nani sii mzalendo, kwani JF wimetengenezwa kwa ajili ya ndege,au ile kasumba ya kuthamini na kutukuza cha mzungu🫠
 
Back
Top Bottom