Sahih kbsaa hawan Cha kupoteza dhid yetuUzuri wazungu hata tukiwabagua huwa hawajisikii vibaya kama sisi weusi.
Kwa sababu Mzungu hajawahi kuwa na inferiority complex mbele ya mtu mweusi.
Kwani ile siku ya simba day alipotambulishwa kama Mzungu na mshereheshaji na msemaji wa timu husika, alijisikiaje?Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa Simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu!
Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba!
Kibinadamu sio fair kabisa hii
Makolo wamelelewa vibaya na TFF,Kwa kifupi makolo ni watoto wa mama wanachokoza Sana wakijivunia mama yao. Safari hii makolo wanajishambulia wenyewe.Letee cheusiii jmn mm niliandika Uzi hapa kulalamikia juu ya ubovu wa utambulisho aliyofanya Ahmed Ally alikosea Sana ila makolo wakanishambulia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uzeru zeru jeUzungu sio ubaguzi acheni ujinga. We always tunatumia uzungu kama sifa njema na sio kejeli, BOSI WANGU MZUNGU SANA, DAH JAMAA KAMA MZUNGU nk
Kwani yule wamemuita MWEUPE??Hapana, usi-generalize..wewe ukiitwa hadharani "wewe mtu mweusi" njoo mbele utasema umepewa sifa? hiyo siyo sifa ni ubaguzi, hata mtoto uliyemzaa huwezi kumuita "we mtoto" sababu hilo si jina lake, watanzania tuwe wastaarabu.
Ngozi ya tako mna shida sanahajui mpira sasa
Tuwe ngozi ya tako au hata ya p.umbu swala ni kwamba huyo mzungu wako/wenu hajui mpira. Na lazima tumcheke/tumtanie kwa sababu hajui mpira. Kama tulivyowatania kina Yikpe na kina Sarpong na nchimbi na wengineo!Ngozi ya tako mna shida sana
Ngozi ya tako huwezi fikiri zaidi ya urefu wa pua yakoTuwe ngozi ya tako au hata ya p.umbu swala ni kwamba huyo mzungu wako/wenu hajui mpira. Na lazima tumcheke/tumtanie kwa sababu hajui mpira. Kama tulivyowatania kina Yikpe na kina Sarpong na nchimbi na wengineo!
Kudai kwamba hapaswi kutaniwa hata kama kazingua kisa yeye ni mzungu huo ndio ubaguzi wenyewe. Sisi ni mashabiki waadilifu na kipimo kilekile tulichowapimia wenzie waliopita kabla yake tutampimia na yeye. Bila kujali rangi ya ngozi yake wala utaifa wake.
Kaflop kwenye game ya juzi (derby) na ile ya simba day ni lazima ataniwe na achekwe. Siku akifanya vizuri tutamsifia na kumshangilia. Hakuna ubaguzi hapo ni ushabiki tu.
Anataniwa Maguire ye nani!?
We jamaa yaani mtoto kumuita mtoto ni ubaguzi!?? Ajabu hiiHapana, usi-generalize..wewe ukiitwa hadharani "wewe mtu mweusi" njoo mbele utasema umepewa sifa? hiyo siyo sifa ni ubaguzi, hata mtoto uliyemzaa huwezi kumuita "we mtoto" sababu hilo si jina lake, watanzania tuwe wastaarabu.
Ananipendekeza tu huyu hana jipyayanayoendelea Ulaya dhidi ya blacks kwenye soka huoni?