Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

Huwa kila zinapokuja hizi habari za matetemeko ya ardhi swali hili hunijia akilini. Ni juzi tu huko Uturuki maelfu ya watu wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Sayansi ya maumbile ya dunia (Geology) imeshindwa kubashiri na kuepusha janga linalotokana na mitetemo ya ya dunia?
Ni kwasabb ya mgongano wa underground earth plates ambazo movement yake inatokana na high pressure chini, haya ndo maelezo ya ma geologist yako brief sana hawana details zaidi, ila sie tunao muamini Allah liko kwenye Quran lilishaelezewa vizuri kama wataka kujua zaidi kasome Quran.
 
Huwa kila zinapokuja hizi habari za matetemeko ya ardhi swali hili hunijia akilini. Ni juzi tu huko Uturuki maelfu ya watu wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Sayansi ya maumbile ya dunia (Geology) imeshindwa kubashiri na kuepusha janga linalotokana na mitetemo ya ya dunia?
Nilisoma kuwa ni vigumu sana kutabiri tetemko kwa usahihi kabisa japo sensors za kudetect zimesambazwa kila mahali kwa mfano kwa nchi kama japan kila kona wameweka sensors.
Ila hili tetemko si mchezo never seen before.
 
Ni kwasabb ya mgongano wa underground earth plates ambazo movement yake inatokana na high pressure chini, haya ndo maelezo ya ma geologist yako brief sana hawana details zaidi.......ila sie tunao muamini Allah liko kwenye Quran lilishaelezewa vizuri kama wataka kujua zaidi kasome Quran.
Quran sura ipi? Naelewa jinsi tetemeko linavyotokea. Swali langu ni kwa vipi elimu yetu yote ya Geology inashindwa kubaini lini na wapi litatokea tetemeko na ukubwa (magnitude) yake ili kuokoa maisha ya watu maana structure zisizohamishika kama majengo hakuna njia ya kuziokoa.
 
Nilisoma kuwa ni vigumu sana kutabiri tetemko kwa usahihi kabisa japo sensors za kudetect zimesambazwa kila mahali kwa mfano kwa nchi kama japan kila kona wameweka sensors.
Ila hili tetemko si mchezo never seen before
Basi Geology bado ina safari ndefu. Itabidi wanaoandaa doctoral thesis tuwalazimishe wafanye tafiti katika hili na wasipokuja na suluhisho we will confer no PHd to them🙁
 
Kuna mtu anaitwa dr hoogerbeets alitabiri 3days before ya tukio kumtokea ni labda tu ukufatilia.
Nimeiona hapa: Turkey Earthquake: Uncanny 'Prediction' By Dutch Researcher Three Days Ago Goes Viral

Soon after disaster struck the Turkey-Syria region on Monday, a tweet by a Dutch researcher, who apparently predicted the earthquakes, went viral. Turkey (Turkiye) and Syria, which are located the Anatolian tectonic plate, saw one of the highest death counts after three earthquakes and over 80 aftershocks hit the region within 18 hours, claiming over 2,300 lives.

The Anatolian plate is prone to earthquakes as the Eurasian and African tectonic plates exert pressure on it from the north and south while the minor Arabian plate presses from the east. Tectonic plates are massive pieces of the Earth's crust, the uppermost layer of the planet. Most earthquakes are caused by the movement of these plates. On Monday, the Arabian plate moving northwards and grinding against the Anatolian plate created extreme pressure, resulting in the massive earthquakes.

Monday's earthquakes were felt in Egypt, Lebanon, Cyprus, Greece, and Iraq. The epicentre of the first earthquake, which was also the biggest, measuring 7.8 on the Richter Scale, was near the city of Gaziantep in southern Turkiye. Thousands were killed in destruction brought about by this tremor that hit at 4.17 am (local time).


Now, a 'prediction' by a Dutch researcher named Frank Hoogerbeets is being shared widely. Reason? Apparently, Hoogerbeets, who works for an organisation in his country called Solar System Geometry Survey (SSGS) had foretold the earthquake just three days ago. “Sooner or later there will be a ~M 7.5 earthquake in this region (South-Central Turkey, Jordan, Syria, Lebanon),” Hoogerbeets had tweeted on February 3.


SSGS describes itself as a "research institute for monitoring geometry between celestial bodies related to seismic activity" on Twitter.


After Hoogerbeets's tweet on the 'prediction' went viral on Monday, he tweeted: "As I stated earlier, sooner or later this would happen in this region, similar to the years 115 and 526. These earthquakes are always preceded by critical planetary geometry, as we had on 4-5 Feb."


Another expert in mining geology, earth sciences, and earthquakes Serkan Içelli was quoted by Turkish news outlet The Daily Sabah in December 2022 as saying that a massive earthquake, the "big one", would occur in the Marmara region, which is home to Turkiye's most populous city — Istanbul. Marmara is located around 1100 km to the west of Gaziantep. Içelli on December 24 dedicated a Twitter thread to explain his theory.


However, he had said that the magnitude of the quake will not be more than 7. "Of course, there will be an earthquake in Marmara, but it will not exceed the magnitude of 7.0. Because Istanbul has never witnessed such a big earthquake throughout history... According to the calculations I made, the 1963 and 1999 series of earthquakes in Gölcük has relieved the stress in Marmara quite a bit. Hence, it is not possible for an earthquake over 5.8 to 6.2 in the Marmara Sea," The Daily Sabah quoted Serkan Içelli.


“The Aegean region is a very complex place for us. Unfortunately, we do not follow that region very well. Especially the area under the island of Crete, called the Hellenic Arc, is dangerously prone to earthquakes. This region has previously produced earthquakes with a magnitude of 8.0 and is now causing the biggest earthquakes. In terms of our country, a tsunami may occur in parts of Muğla," he had sought to explain.
 
sidhani SSGEOS ni taasisi ndogo, huyu jamaa anafanya KAZI kwenye hii taasisi na alitoa mpaka caution nadhani ni watu hawakulichukulia uzito
Huyu anatakiwa kutumiwa na dunia kuepusha madhara ya namna hii. Maelfu ya maisha ya watu yamepotea due to negligence.
 
Basi Geology bado ina safari ndefu. Itabidi wanaoandaa doctoral thesis tuwalazimishe wafanye tafiti katika hili na wasipokuja na suluhisho we will confer no PHd to them🙁
Kabisa itakuwa hapana haja ya PhD
 
Ni kwasabb ya mgongano wa underground earth plates ambazo movement yake inatokana na high pressure chini, haya ndo maelezo ya ma geologist yako brief sana hawana details zaidi, ila sie tunao muamini Allah liko kwenye Quran lilishaelezewa vizuri kama wataka kujua zaidi kasome Quran.

Hili nililipita juu juu sikujiulizaga sana enzi za kusoma, ndio hizi tectonic plates? Well nisaidie kujua haya.

hizi underground earth plate ziko kwenye layer gani?

na what makes them move?Are they fluid or solid?

When they move means they leave spaces or form mountains or hills, is there any sign of new landmark?
 
Back
Top Bottom