bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Scientists wanaweza kutabiri kulingana na vipimo vya seismic activities kwenye lile eneo (hasa kama hilo ambalo tectonic plates zinakutana). Hii inasaidia kutoa tahadhari ya kujitayarisha, hata hivyo kwamba tetemeko litatokea saa fulani na dakika fulani hilo bado,Kuna mtu anaitwa dr hoogerbeets alitabiri 3days before ya tukio kumtokea ni labda tu hukufatilia.