Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

Kuna mtu anaitwa dr hoogerbeets alitabiri 3days before ya tukio kumtokea ni labda tu hukufatilia.
Scientists wanaweza kutabiri kulingana na vipimo vya seismic activities kwenye lile eneo (hasa kama hilo ambalo tectonic plates zinakutana). Hii inasaidia kutoa tahadhari ya kujitayarisha, hata hivyo kwamba tetemeko litatokea saa fulani na dakika fulani hilo bado,
 
1. Matetemeko
2 tetesi za vita
3.upendo kupoa
4 watu kupenda pesa
5.kutokupenda suluhu
Dalili za nykti za Meiji
Nyakati za mwisho
 
Kwani mimi nimesemaje jamani nimesema frank hoogerbeets alitoa angalizo mapema na kusema sehemu zitakazoathirika na ukubwa wa 7.5 siku tatu kabla au haukunielewa mkuu?
 
Kwani mimi nimesemaje jamani nimesema frank hoogerbeets alitoa angalizo mapema na kusema sehemu zitakazoathirika na ukubwa wa 7.5 siku tatu kabla au haukunielewa mkuu?
Mimi sijakupinga nimeongelea tu kuwa scientists bado hawajaweza kudetermine the exact time (kwamba labda itatokea jumatatu saa tano asubuhi).

Hata ile Tsunami ya 2006 pia walitahadharisha.
 
Kabisa itakuwa hapana haja ya PhD
PhD zisizoleta tija itabidi vyuo vyetu vizizuie. Ni upuuzi tu unajaza madaktari wa falsafa tele lakini mambo ya muhimu hawana mchango wowote.
 
Mimi sijakupinga nimeongelea tu kuwa scientists bado hawajaweza kudetermine the exact time (kwamba labda itatokea jumatatu saa tano asubuhi).

Hata ile Tsunami ya 2006 pia walitahadharisha.
Sasa mbona hakuna preventive measures zinazochukuliwa??
 
Sayansi ni zawadi kutoka kwa huyo huyo Mungu. Ni ajabu kuna watu wanaiona sayansi kama kitu kinachokinzana na Mungu. Hayo ni mawazo duni kabisa.
Mawazo duni vipi? Sayansi inasemaje kuhusu chanzo cha binadamu?
 
Nilisoma kuwa ni vigumu sana kutabiri tetemko kwa usahihi kabisa japo sensors za kudetect zimesambazwa kila mahali kwa mfano kwa nchi kama japan kila kona wameweka sensors.
Ila hili tetemko si mchezo never seen before.
Asili haijawahi kuzuiliwa mipango yake.
 

Hiyo kurwani ilieleza kuwa tetemeko litatokea uturuki na syria siku na tarehe husika?au ndio mwendo wa ramli chonganishi?wafia dini ni watu hopeless kabisa.
 
Wewe kwa kweli ni kiazi soma mada kwanza inasema je.

Sina haja ya kusoma,tueleze hiyo kitabu ilisema wapi na lini hilo tetemeko litatokea urusi,acha kujitia uchizi.
 
Unajua toka sheik Yahya afe hakuna tena anayeweza kutabiri kwa usahihi.
 
Ukiangalia yale magorofa yanavyoanguka unaweza siku kama lile linapiga nchi zetu hizi ambazo majumba yenyewe yanaanguka tu bila mtingishiko mungu atuepushe na hii zahma tu maana tutaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…