Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Unatania?hata wakidondosha nuclear nalo litadunda vilevle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatania?hata wakidondosha nuclear nalo litadunda vilevle
Kwani wao alipowapa, uwezo wa kitekelojia, kutengeneza vifaa mbalimbali unadhani aliwapendelea la hasha bali ni kilima zake.Kwa hiyo Mungu ana upendeleo?
Hilo umesema weweUnatania?
Ndio kitu ganiAmfifiro imetusaidia
Kwahiyo unataka kunambia Mungu alipo mchagua IBRAHIM,ISAKA na YAKOBO na kuwafanya kuwa wateule alikuwa na upendeleo?,ina maana hakukuwa na Binadamu wengine duniani?,kwanini aliwaona wao tu?Kwa hiyo Mungu ana upendeleo?
Mbona hata mafua ya kawaida tu hywa hayawasumbui Waafrika kama wazungu?
Waafrika huenda wana vinasaba vinavyowapa kinga ya kiasili dhidi ya Covid-19.
Huenda miili yetu ina hormones nyingi zilizokuwa mwilini kwa ajili ya kukutana na vijidudu vingi, na hormones hizo zinatulinda kama chanjo.
Huko Italia, Hispania, Marekani, Uingereza, na kwingineko, idadi kubwa sana ya waliokufa, walikuwa ni wazee wenye zaidi ya umri wa miaka 70 na 80, na ambao karibu wote walikuwa ni watu walio medically fragile.Pia, nchi kama Tanzania, life expectancy yetu, 65 years, ndipo high risk age ya Covid-19 inapoanzia.
Kwa hiyo tunaweza kujisifu watu wetu hawafi kwa Corona, kumbe hawafi kwa sababu kwa kiasi kikubwa walishafariki kabla Corona haijawasili.
Hapana sijasema bali nimeuliza.Hilo umesema wewe
Kama jogoo kuuwawa na utitiri!Ni Aibu Mu"Africa; kufa kwa 'Vimafua[emoji849]
Ugonjwa utakao tuuwa sisi wao uta wafagia kabisa ni sawa na upakie mzigo wa fuso kwenye istNajua hawajaamini wambie walete lingine lengo lao litimie, hata wakidondosha nuclear nalo litadunda vilevle