Mbona hata mafua ya kawaida tu hywa hayawasumbui Waafrika kama wazungu?
Hata mafua ya kawaida husababishwa na coronavirus. Na kuna aina kadhaa za hao human coronaviruses wanaosababisha hayo mafua ya kawaida. Kuna229E, NL63, OC43, na HKU1.
Mpaka leo hii hakuna dawa ya chanjo dhidi ya hayo mafua ya kawaida na wala hakuna tiba mahsusi dhidi ya hayo mafua.
Huwa yanaisha tu yenyewe.
Dawa na njia zingine kama kujifukiza zilizopo huwa si za kutibu. Ni za kumpa mtu afueni ya muda ili kupunguza makali.
Ndo maana naona kama vile hao akina Dr. Fauci wanatudanganya tu wanapotuambia kuhusu mambo ya chanjo ya kinga.
Waafrika huenda wana vinasaba vinavyowapa kinga ya kiasili dhidi ya Covid-19.
Huenda miili yetu ina hormones nyingi zilizokuwa mwilini kwa ajili ya kukutana na vijidudu vingi, na hormones hizo zinatulinda kama chanjo.
Yawezekana labda kweli tuna kinga ya kiasili kutokana na sababu kadha wa kadha.
Ila pia yawezekana hii COVID-19 wala si hatari kivile.
Mimi naamini kabisa kuwa COVID-19 si hatari kama inavyopaishwa.
Kwa nchi kama Marekani, kama hii COVID ingetokea kwenye mwaka ambao siyo wa uchaguzi, basi nadhani hali ingekuwa ni tofauti na ilivyo sasa.
Sasa hivi inatumika kama silaha dhidi ya Trump.
Hata idadi ‘halisi’ ya waliokufa kwa sababu ya hiyo Corona ina walakini mkubwa sana. Idadi ya waliokufa kutokana na Corona ‘tu’, ni ndogo sana.
Nadhani baada ya Nov.3, Corona wala haitopewa kipaumbele kikubwa, iwe ni Trump au Biden, atayeshinda uchaguzi.
Pia, nchi kama Tanzania, life expectancy yetu, 65 years, ndipo high risk age ya Covid-19 inapoanzia.
Kwa hiyo tunaweza kujisifu watu wetu hawafi kwa Corona, kumbe hawafi kwa sababu kwa kiasi kikubwa walishafariki kabla Corona haijawasili.
Huko Italia, Hispania, Marekani, Uingereza, na kwingineko, idadi kubwa sana ya waliokufa, walikuwa ni wazee wenye zaidi ya umri wa miaka 70 na 80, na ambao karibu wote walikuwa ni watu walio medically fragile.
Binafsi tokea ianze, sijajifungia ndani, sivai barakoa unless labda nimeenda sehemu ambayo wanalazimisha kuivaa.
I travel a lot. And now almost all airlines require passengers to wear a mask. So there, I have no choice.
But other than that, me and my girls haven’t done anything extraordinary and we are still healthy as healthy can be!!