Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Bado zinaendelea kuonekana? Au ndo hazipo tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo zomeongezeka, zinaonekana sita in a row,kama eneo lako ni angavu utaziona vyema zaidi, ila unaweza usizitambue maana zinafanana na nyota za kawaida, unless uwe na vifaa maalum vya kutazamia.Bado zinaendelea kuonekana? Au ndo hazipo tena
Kuna wingu anga halina kitu huku, nitaangalia na baadaeLeo zomeongezeka, zinaonekana sita in a row,kama eneo lako ni angavu utaziona vyema zaidi, ila unaweza usizitambue maana zinafanana na nyota za kawaida, unless uwe na vifaa maalum vya kutazamia.
Mpaka baaadae zinakusubiri tu mkuu? 🤣🤣Kuna wingu anga halina kitu huku, nitaangalia na baadae
Sa zinaenda wapi jamaniMpaka baaadae zinakusubiri tu mkuu? 🤣🤣
Kwani kabla ya leo zilikuwa wapi 🤣Sa zinaenda wapi jamani
Mi huwa naziona kila siku 😁Kwani kabla ya leo zilikuwa wapi 🤣
Hiyo kubwa ndo Jupiter nadhani ipo mwezi mzima huuView attachment 3213905
Hii ni kigoma mjini kibirizi nimepata bahati ya kuziona mbili sijui kwa wenzangu huko