Saying I am Sorry......

Saying I am Sorry......

Ile rule namba tatu, hommie kaizer amenambia haiwahusu viongozi......ubeberu na ukabaila mkubwa huu..... Destination? Unaulizia ulimi mdomoni hommie? Smiles? Yeah that girl, hebu mPM rais wa chama akupe updates afu unifowadie....mi sina access ya kumPM kwa mujibu wa kanuni.......
Tatizo la Pope Kaizer ni kujimilikisha mali bila kufuata kanuni na taratibu za chama! mfadhili wa chama nae siku hizi anashinda kwenye jukwaa la stress tu!! Ngoja nijaribu kuMp pope, ila najua kwa ukabaila wake hawezi leta jibu hapa!
 
Umeona eh? Afu hommie angalia hapo juu, kuna mtu ameguna.......... huu mguno umekaa kama vile umetokea kwenye wing moja hivi ya JF kanda ya kaskazini...... Hebu kaufanyie kazi....
 
<br />
<br />
nimeshtuka anavyotaka kukubana ODM,kwanini asikuombe msamaha
Ulikuwa wapi siku zote kumwaga haya mayuziful pointi.

Baada ya kusema hayo ngoja nimfuate hommie kwenye sredi nyingine. Ujio wako hapa si salama kwa mujibu wa taarifa za mnuso wa kiintelejinsia.... akirudi mwanajamiione mwambie hatutachangia tena sredi zake........si salama kwa matumizi ya binadamu wa jinsia flani.
 
Umenena, tusiingie tena kwenye sredi za mwanajamiiOne. Nimegundua si salama sana kwa maslahi ya chama.
Si ndo hapo sasa? Twende kwenye mastress nini, kwa Maria Roza kumefulia sijui ndo anajipanga upya aje na vituz?
 
hahaaaaaaaa hilo nalo neno (baby naomba msamaha) kwani nimesema nini babu?

Yapaswa kwenda kwa zamu.... tunguri zinaonyesha leo ni zamu ya chauro. wengine wakija watavimbiwa..........
 
Si ndo hapo sasa? Twende kwenye mastress nini, kwa Maria Roza kumefulia sijui ndo anajipanga upya aje na vituz?
Hahaha labda jukwaa la Max Shimba......... la mastress ntakula ban kwenye post ya pili lol

hahaaaaaaaa hilo nalo neno (baby naomba msamaha) kwani nimesema nini babu?
Sijaona, hebu nisukumizie kwenye PM, kule huwa sihitaji mawani
 
hapa hapaaaa tutamnyima mjukuu wako darasa wengine ndio tunajifunza kusema samahani.

Sijaona, hebu nisukumizie kwenye PM, kule huwa sihitaji mawani[/QUOTE]
 
Ninajua mara utakapoiona hii mail wala hutatamani kuisoma hivo naomba japo kidogo nikusumbue ingawa najua ninakuongezea hasira. Mpenzi naomba kukueleza kuwa hakika wewe ni mwanamke pekee aliyewahi, na anaye nijali na kunithamini. Niliyo kutendea wala hayakuwa ya kiungwana hivyo naomba unisamehe wangu mpenzi....... Tuliza moyo huku niliko japo ni mbali hakuna anyeweza kugusa mtima wangu wa moyo kama wewe Mtamu wangu
 
Baby am sorry
Lol najikuta natabassamu tu ingawa maneno machache ..
 
Ninajua mara utakapoiona hii mail wala hutatamani kuisoma hivo naomba japo kidogo nikusumbue ingawa najua ninakuongezea hasira. Mpenzi naomba kukueleza kuwa hakika wewe ni mwanamke pekee aliyewahi, na anaye nijali na kunithamini. Niliyo kutendea wala hayakuwa ya kiungwana hivyo naomba unisamehe wangu mpenzi....... Tuliza moyo huku niliko japo ni mbali hakuna anyeweza kugusa mtima wangu wa moyo kama wewe Mtamu wangu

yote haya jamani!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
aaaah!!wapiiii na weweee....unamaindi mamboo madogo,ainaa kwereee nisameee basiiii....kama vipi?
 
MwanajamiiOne popote ulipo naomba mwongozo:

Hii samahani unayoomba ni kwa kosa lipi hasa?
1. Fumanizi?
2.Kuunguza chakula
3. Kutoniamsha asubuhi wakati unajua nimelala na mamitungi yangu?
4. Kuninyima chakula cha usiku?
5. Kuchelewa kurudi nyumbani?
6.......
7...........

Mi ako konfuzd .... manake kuna makosa mengine kabla hujapata muda wa kuomba samahani, ushasamehewa siku nyiiiiingi. Na mengine ili usamehewe yanahitaji nguvu kutoka juu.

Mukubwa kuna umenikata mbavuuu teht tehe ethe maana mingine haisameki hahahhhaa
 
Back
Top Bottom