WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Pope Kaizer ni kujimilikisha mali bila kufuata kanuni na taratibu za chama! mfadhili wa chama nae siku hizi anashinda kwenye jukwaa la stress tu!! Ngoja nijaribu kuMp pope, ila najua kwa ukabaila wake hawezi leta jibu hapa!Ile rule namba tatu, hommie kaizer amenambia haiwahusu viongozi......ubeberu na ukabaila mkubwa huu..... Destination? Unaulizia ulimi mdomoni hommie? Smiles? Yeah that girl, hebu mPM rais wa chama akupe updates afu unifowadie....mi sina access ya kumPM kwa mujibu wa kanuni.......
Hapo umeguna au umeshtuka?

mmmmh!
Aisee!! upo? Ngoja nisepe!mmmmh!
Umeona eh? Afu hommie angalia hapo juu, kuna mtu ameguna.......... huu mguno umekaa kama vile umetokea kwenye wing moja hivi ya JF kanda ya kaskazini...... Hebu kaufanyie kazi....Tatizo la Pope Kaizer ni kujimilikisha mali bila kufuata kanuni na taratibu za chama! mfadhili wa chama nae siku hizi anashinda kwenye jukwaa la stress tu!! Ngoja nijaribu kuMp pope, ila najua kwa ukabaila wake hawezi leta jibu hapa!
Hommie hebu tusepe hapakaliki tena hapa!Hapo umeguna au umeshtuka?

Hapo umeguna au umeshtuka?
Umenena, tusiingie tena kwenye sredi za mwanajamiiOne. Nimegundua si salama sana kwa maslahi ya chama.Hommie hebu tusepe hapakaliki tena hapa!
Ulikuwa wapi siku zote kumwaga haya mayuziful pointi.

nimeshtuka anavyotaka kukubana ODM,kwanini asikuombe msamaha
Si ndo hapo sasa? Twende kwenye mastress nini, kwa Maria Roza kumefulia sijui ndo anajipanga upya aje na vituz?Umenena, tusiingie tena kwenye sredi za mwanajamiiOne. Nimegundua si salama sana kwa maslahi ya chama.
Yapaswa kwenda kwa zamu.... tunguri zinaonyesha leo ni zamu ya chauro. wengine wakija watavimbiwa..........
Hahaha labda jukwaa la Max Shimba......... la mastress ntakula ban kwenye post ya pili lolSi ndo hapo sasa? Twende kwenye mastress nini, kwa Maria Roza kumefulia sijui ndo anajipanga upya aje na vituz?
Sijaona, hebu nisukumizie kwenye PM, kule huwa sihitaji mawanihahaaaaaaaa hilo nalo neno (baby naomba msamaha) kwani nimesema nini babu?
Kuna wimbo nasikiliza hapa unaitwa Pole wa Swahili Nation msamaha unaoombwa sio mdogo.
Ninajua mara utakapoiona hii mail wala hutatamani kuisoma hivo naomba japo kidogo nikusumbue ingawa najua ninakuongezea hasira. Mpenzi naomba kukueleza kuwa hakika wewe ni mwanamke pekee aliyewahi, na anaye nijali na kunithamini. Niliyo kutendea wala hayakuwa ya kiungwana hivyo naomba unisamehe wangu mpenzi....... Tuliza moyo huku niliko japo ni mbali hakuna anyeweza kugusa mtima wangu wa moyo kama wewe Mtamu wangu
MwanajamiiOne popote ulipo naomba mwongozo:
Hii samahani unayoomba ni kwa kosa lipi hasa?
1. Fumanizi?
2.Kuunguza chakula
3. Kutoniamsha asubuhi wakati unajua nimelala na mamitungi yangu?
4. Kuninyima chakula cha usiku?
5. Kuchelewa kurudi nyumbani?
6.......
7...........
Mi ako konfuzd .... manake kuna makosa mengine kabla hujapata muda wa kuomba samahani, ushasamehewa siku nyiiiiingi. Na mengine ili usamehewe yanahitaji nguvu kutoka juu.