Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya ulioingia wa kuwakusanya vijana kisha kuwaaminisha kuna kampuni fulani inatoa commission unapofanya mambo flani flani huko online, ila kujiunga lazima uwe na kianzio kiasi kadhaa.
Your browser is not able to display this video.
Hivi majuzi tuliona habari iliyorushwa na ITV kupitia kipindi chao cha "Ripoti Maalumu" ambapo walionesha makundi kwa makundi ya vijana waliosombwa huko vijijini na kupelekwa Dar wakiaminishwa kuna biashara mtandao wanayoenda kufanya ambayo itawapatia utajiri ndani ya muda mfupi.
Your browser is not able to display this video.
Baada ya hiyo kampuni hewa ya utapeli kuumbuliwa sasa kuna kampuni nyingine ya utapeli wa aina hiyo inayoibukia kwa kasi kwenye miji mbalimbali hapa nchini, huku waathirika wakubwa wakiwa na vijana.
Hizi kampuni zipo nyingi sana, lakini hii ndiyo ambayo naona imeshika kasi maana nimekutana na watu kadhaa walionishawishi nijiunge, huku wakiwa hawajui tayari wameshatapeliwa.
Your browser is not able to display this video.
Hivyo kama una ndugu au rafiki ambaye yupo kwenye huu msururu wa Kalynda Investment basi muambie wanaenda kupigwa za uso mchana kweupee, hakuna biashara ya namna hii, wote wataishia kutapeliwa pesa zao tuu.
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote unachokijua kuhusu Kalynda E-commerce
Hii ni company inajihusisha na ecommerce .. yaan kufanya kazi mitandaoni na kulipwa malipo yko...
Kazi hii iko hvi:-
Unajiunga kwa kupitia link ambayo nitakutumia mm... Then ukishajisajili unwekeza kiwango cha fedha. (Mwanzo ni kuanzia 20000 na kuendelea) hii iko level mbili mpka ss.. inaitwa vip 1 na vip 2.
Ukishawekeza hyo hela ss ww kazi unayotakiwa kufanya ni kuingia (login) ktk hyo tovuti yao.. na kuanza kuzipa bidhaa 20 nyota 5 na kuipa sifa hyo bidhaa (Kampuni hii inashirikiana na shoppingonline 4)
Na kulipwa inalingana na kieango chako cha uwekezaji.. km utaekeza 50000 bas kila ukiingia na kufanya hyo kazi utaipwa 2000 na kila pesa unapozidi na malipo pia huongezeka.
Chengine ni pale unapomuunga mtu kupitia link yako bas utalipwa percent kadhaa kila anapofanya hyo kazi yake. Na utakapoingiza watu watano tu bas wanakupa fursa ya kuingia vip2 ambayo nayo ni kuanza kuekeza kuanzia laki 2 mpka million. Na ukitimiza hapo wanakupa laki 5 ya kufungua ofisi yako nchini tz ili uwe km ni wakala wa kylinda.

Hizi mambo utabidi uwe na elimu kwa vile bado tuko hai .utakuja kukumbuka maneno yangu kama kama tukiwa hai maana sidhani Kama mwakani muda kama huu utafiki kweli hawa vijana bila ya kulia yaani watapigwa .
Ukicheza na saikolojia ya dunia na uzao utakuja tambua kwamba wajinga wanazaliwa kila na hata vyuoni wanafika so unaweza kuwatumia wajinga wapya daily hapo wale waliopigwa mwaka Jana na ideadibator sijui ambao ilikufa miezi wa mwanzoni mwaka huu hawawezi kutia mguu na hao wa smarthela.
Cheti kupata brela ni rahisi na pia kinaweza kutenezwa na adobe Photoshop michezo watu washafanya sana kumbuka makampuni ya nje kama inclusive forex, world way capital, Infonix, wozur yaani ni kibao wakae mkao wa kula.
Ukiona unaitwa kwenye fursa na unaambiwa kabisa kuwa ili unufaike vzr unatakiwa kushirikisha na wengine basi ujue wewe ndio chambo. Mshkaji wangu mmoja kaja juzi kunihubiria hii kitu na kunisajili nikamsikilizaaaaaaa, then nikazama kwanza mtandaoni ndo nakutana hii habari kwa mara ya pili jf.
Mumbo jumbo. Bango lao nimeliona juzi pale Palm Village . Hii n 2022, nitashanga sana kama kuna kijana yeyote atayeingizwa mkenge na upuuzi na utapeli kama huu. Jina lenyewe tu "Kalyinda" kwa lugha ya Kiswahili, sounds completely bogus.
Hao wanakosea kuweka mabango kila mahali, watafel mapema sana...
Hii inabidi watu watangaziane wao kwa wao...hizo hela za matangazo ni bora waweke offer kubwa kubwa ili wale vichwa vizuri.
Hizi scams ukiwa smart umaskini unauaga [emoji3][emoji3]